正在加载视频...
视频加载失败
Kikwete ametuchokoza
39,983 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
24 条评论

Kama huu mkataba ingetoka Uingereza au Marekani sidhani kama hizi kelele zingekwepo

huko aliko sasa🤣🤣

Viongozi wa imani wana nafasi kubwa katika mioyo yetu kuliko wa kisiasa.hofu kubwa kwangu.mungu atusaidie

Hapa kuna shida mahali Be careful

✍️Somo bora kabisa, nilipoondoka nyumbani na kuja ng’ambo kufanya Master Programme ya African Studies, kuna watu waliniuliza hili swali. “Why African Studies” in Europe? ✍️ Jawabu langu lilikuwa, nataka kujua perspective (a point of view) ya wasomi na maprofesa wa Europe ni namna gani wanaisoma Africa na kuitambua, sikutaka kwenda mbali na kusema yote, wakati mwingine stabbing spear is the best spear 🔱 Shaka Zulu alitufunza vyema. ✍️ Kwenye Cource ya Political & Religion in Africa kuna jambo kubwa sisi Watanzania, pengine na mataifa mengi ya kiafrika hatujua au mitaala yote imetengenezwa na wanasiasa kuficha kuhusu nguvu ya hizi Dini na siasa Afrika! Ni ngumu sana kuondoa Dini kwenye Siasa za Afrika, mfano mzuri ni DR Congo, Congo na machafuko yote, African Studies inaenda deep sana kwenye hii nchi, na zilizo pembezoni, ikiwemo Tanzania…..

As long as mkataba huu ndo chanzo Cha matatizo yote haya kwanini usisitishwe mara Moja Ili kuepuka haya majanga yanayoweza kujitokeza, Miongoni mwa mbinu za kusolve conflict ni, "ROOT ANALYSIS"

Natamani kiwake maana nyie mnashabikia kisiasa badala ya kufikiri udini ukichukua nafasi vyama vya siasa vitakuwa kwny hali gani

😁😁😁😁

Asante sana Baba Askofu. Dini ni mbaya ikikosoa viongozi, ila ni nzuri ikiwachagua. Viongozi waache unafki

Iyoooo imeendaa iyoo

Sema bro huwaga unakurupuka kinoma yan

🤣

@ddl_vid1

@GetVideoBotOld

Askofu ni mwizi kama mwanasiasa tu Ni vile waafrika bado waoga kidogo kukubali hili 🤪 Anyway…

Mbona tunasikia sauti 2 tu..😅😅😅

Sasa wewe nawe umekuwa kama Askofu mbona? Naona umekuwa kama msemaji wao umeshindwa kabisa kutafautisha nafasi yako ya chama na nafasi yako kanisani.

Rudi shule dogo

"Dini yetu ni siasa yetu" Imam Khomein, (Kiongozi wa kwanzq wa jamhuri ya mapinduzi ya kiislam Iran)

Kumekucha

Mchungaji anasema "siasa na dini zimechanganyana zenyewe toka zamani". Hakuna aliyezichanganya. 😂😂😂

Ah angeyasema maneno hayo sheikh duh pangepasuka ila Kwa kuwa kasema askofu basi maneno yamekubaliwa. Nakumbuka kipindi Cha awamu ya tatu masheikh wengi walitiwa ndani kisa kuchanganya dini na siasa na Hadi kupelekea mauaji ya mwembechai Leo maaskofu nao wanahubiri siasa

watu wamevurugwa😂😂

Akuchokoze nani mjinga wewe.. kwa hiyo mnaamini kauli ya TEC ni sheria?
相关视频
Rais Mstaafu Kikwete: Msuya hakuitisha press conference kuisema Serikali.
The Chanzo
95,240 次观看 • 1 年前

