Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

73,547 views • 1 year ago •via X (Twitter)

31 Comments

Shayo's profile picture
Shayo1 year ago

Huu uhuni ulifanyika lini...?kuna watu ni wachawi sana. Alafu msajili wa vyama yupo busy na Michakato ya CHADEMA ambayo kura zilihesabiwa live on Media. Lolote baya liwakumbe hawa.

Robert Zambe's profile picture
Robert Zambe1 year ago

Dah! Jambo hili JK atalijutia sana, hasa pale meza ikipinduliwa.

Kibingwa's profile picture
Kibingwa1 year ago

Imekwishaaaaaaaaaa

Uncle G's profile picture
Uncle G1 year ago

Wapelekeni mahakamani hawa, sio kwamba haki itaenda kutendeka ,Bali mtakuwa mmeweka mtego kwa msajili wa vyama. Tunajua atawapendelea , sasa mazingira hayo mtayatumia kupiga filimbi Dunia nzima isikie. Msipo fanya hivyo ipo siku msajili atasema hakuwepo mlalamikaji

Richard Marwa's profile picture
Richard Marwa1 year ago

Hawa wastaafu haswa Marais watungiwe sheria wakishamaliza utumishi wao wasijihusishe na vyama vya siasa wala masuala ya nchi kwanza wanatugharimu sana walipa Kodi sijui wajengewe mahekalu walinzi wafanyakazi n.k mbona walimu wakishastaafu hatuwaona shuleni tena

wanyajoge26's profile picture
wanyajoge261 year ago

Hata ndani kwao huko sio wajinga Na tuko kuzuri sana

NAIPENDA NCHI YANGU's profile picture
NAIPENDA NCHI YANGU1 year ago

Kuna wanachama wengi sana wamekaaa hawakunyanyuka kushangilia maaana yake nini?

Godson Salema's profile picture
Godson Salema1 year ago

"Mercenary"

Zingibermc's profile picture
Zingibermc1 year ago

Ila hapa bimkubwa asingetoboa hapa. Kwanza ndomana akagoma kutoka nje😃😃

.'s profile picture
.1 year ago

Kwa kifupi wajumbe wa ccm ni MABUMUNDAA

Professor Mavuzi Mboo Pumbu's profile picture
Professor Mavuzi Mboo Pumbu1 year ago

@jmkikwete acha uhuni wa kishamba unawashwawashwa wewe ulishamaliza utawala wako kinachokuwasha ni nini? Na mwaka huu lazima mbivu na mbichi zieleweka tuachieni nchi yetu ninyi wapangaji uchwarauchwara na jipange tukiikomboa nchi mtarudisha kila mlichojimilikisha kinyume

Emmanuel Joseph Charahani's profile picture
Emmanuel Joseph Charahani1 year ago

Kua kijana,uyaone maisha sio magorofa,marehemu Baba alikua anapenda kunicharazia hvyo pale ninapo mkosea. Asante mjumbe wa KAMATI KUU.

afanderichadi's profile picture
afanderichadi1 year ago

Anachota dhahabu mrima Elizabeth wa chunya, alichukua ges mtwara, anaongonza nchi kwa mgongo wa Samia, alimushauli samia anunue baiskeli kwa pesa za mkopo, anakula nchi kuma uyu

Ally Sheha's profile picture
Ally Sheha1 year ago

Cc tunaendelea kuhesabu siku tu.kuna mengi hapa.

kijanawabb's profile picture
kijanawabb1 year ago

Yaan anayepiganiwa yupo,hapohapo ndo mwenyekiti, then ni prez yaan michongo mitupu

hakaido's profile picture
hakaido1 year ago

Unatarajia Kikwete ambae amekuwa mpenzi wa Samia Suluhu Hassan Wa zamani aache kuwachanganya wajumbe? Katiba ya Tanzania imekuwa ikibunjwa kwa ubabe kama huo ila hakuna Uchaguzi ulifanyika kwa sababu wanachama wa CCM hawakupata nafasi ya kugombea Urais and that is a naked secret!

Mbalila K.'s profile picture
Mbalila K.1 year ago

Marais wakistaafu wawe wanatulia na kuwa wastaaafu wa kweli. Sio kuingilia maamuzi mazito kama haya

joseph_selasini's profile picture
joseph_selasini1 year ago

@Mdunguaji23 "Tusionekane tumekiuka kidogo." Hahahahaaaa!!!

Arnold Komba's profile picture
Arnold Komba1 year ago

Mzee anapiga kimya kimya

Secretary Pompeo's profile picture
Secretary Pompeo1 year ago

😁😁😁hapa lazima nomination yake itenguliwe, hawezi endelea na mchakato wa uchaguzi

Wakishua🥳tz🇹🇿's profile picture
Wakishua🥳tz🇹🇿1 year ago

duh yani aibu

aGO's profile picture
aGO1 year ago

Tanzania is a stage

Mtotomwema's profile picture
Mtotomwema1 year ago

𝙺𝚒𝚔𝚠𝚎𝚝𝚎 𝚣𝚊𝚒𝚍𝚒 𝚢𝚊 𝙶𝚊𝚒𝚍𝚒 𝚞𝚢𝚞 𝚖𝚣𝚎𝚎 𝚖𝚋𝚊𝚢𝚊𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚠𝚎𝚔𝚊 𝚖𝚋𝚎𝚕𝚎 𝚝𝚊𝚖𝚊𝚊 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚔𝚘 𝚟𝚒𝚕𝚒𝚘 𝚟𝚢𝚊 𝚆𝚊𝚗𝚊𝚗𝚌𝚑𝚒 𝚢𝚞𝚙𝚘 𝚔𝚒𝚖𝚋𝚎𝚕𝚎𝚖𝚋𝚎𝚕𝚎 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚜𝚎𝚑𝚎𝚖𝚞 #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Ulombo Musa's profile picture
Ulombo Musa1 year ago

Mr dalali tumshambulie anaharibu inchi @jmkikwete

Camel's profile picture
Camel1 year ago

We live with dangerous people,evil, and sometimes we are close,eat, and laugh with them. So, our safety and security are undetermined.

Husna's profile picture
Husna1 year ago

@SuluhuSamia na @jmkikwete ni mavi kabsa wanaona hii nchi ni vinyeo za mama zao

DON👁️🎯's profile picture
DON👁️🎯1 year ago

NO REFORMS NO ELECTION

simo_northern47's profile picture
simo_northern471 year ago

Nchi imeharibiwa kutokana na huyu jamaa

EMM.P.W DR OF NURSES.'s profile picture
EMM.P.W DR OF NURSES.1 year ago

DAAH NIMEHUZUNIKA SANA

RUDALA.'s profile picture
RUDALA.1 year ago

Haka ka jamaa ndo kansharibu nchi asee.. No reform no Election

Al'Hajj Abdulmajid H's profile picture
Al'Hajj Abdulmajid H1 year ago

If this is valid, I wish this to be valid for all Tanzanians. If. Just If we made the rules and regulations then all should proceed without seeming going against these rules. After all we validated them. Let this be the norm for every Tanzanian regardless of what party he hails.

Related Videos