Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kila mtu anataka kuwa...

11,784 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 9

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Sikiliza Historia ya Diamond, Alivyoenda kuomba ku-perfom kwenye BSS kipindi bado hajawa Star.. Video kwa Comments 👇

Фото профиля Denice Tumaini
Denice Tumaini1 год назад

Alichokisema Madam Rita dhidi ya Diamond Platinumz ni ukweli 101% Na Mafanikio yake yanatokana na weledi, kujituma na heshima anayoipa kazi anayoifanya. Diamond hana kazi ndogo hata ukimpa kazi ya kutumbuiza kwenye harusi ni lazima aipe umuhimu na kipaumbele. Anaheshimu sana weledi, ujuzi na taaluma za wengine.

Фото профиля Otenga
Otenga1 год назад

These are propaganda being brewed by Diamond and BSS to water down the poor performance in Trace. They are trying to sanitize and divert people's attention. Very shallow narrative. Tanzanians and Diamond should work smart. Clout doesn't work well. They should stop being thick.

Фото профиля Calfonia HIGH TECH💻 📻 📱 0745 228923
Calfonia HIGH TECH💻 📻 📱 0745 2289231 год назад

Huyu jamaa anapambana....Sana yaaaan ni full husler

Фото профиля tiba asili
tiba asili1 год назад

kwamba ilianza bongo star search kabla ya Diamond kutok kimuziki😂😂 shida wabongo unafiki sehemu ya maisha yetu aiseeeee

Фото профиля Kijukuu
Kijukuu1 год назад

Ila ukweli ni kwamba diamond ni mtu Safi sana

Фото профиля Ngasa Maduhu
Ngasa Maduhu1 год назад

Otenga ajaona hii 😂😂😂

Фото профиля Yanga_mtetezii
Yanga_mtetezii1 год назад

Hapa kwa watu ajui Tanzania ila wanamjua diamond 🤣🤣🤣watu wamekataa eti sio kwel

Фото профиля LENO WA OLD TRAFFORD
LENO WA OLD TRAFFORD1 год назад

Kuna jamaa anaskika kwa mbaali anansema “Sio kweli” 😂😂😂

Похожие видео