Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Itafika muda kila mtu ataongea ukweli

70,633 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

Collin Erasto's profile picture
Collin Erasto1 year ago

Hii ni kweli mechi za simba ni ngumu sana aisee Lazima kuna hela zinawekwa ili afungwe Wewe mashujaa angekuwa anacheza hivi kila siku si angekuwa top 4

Ephraim's profile picture
Ephraim1 year ago

Ukiwa kolo kuna namna flan kichwan unatingishika 🚮

Rowdy Knights Club Mushroom Coffee's profile picture
Rowdy Knights Club Mushroom Coffee1 year ago

Small, but great community so far, join the @Rowdy_Knights Club 👋

fred's profile picture
fred1 year ago

Hii nchi kila mtu ni kichaa tunapishana tu muda wa kuwehuka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Topher..🗽's profile picture
Topher..🗽1 year ago

Wakisemwa wao wanakimbilia kutukana wanapenda wasemwe wengine mamae wananunua mechi kwa kisingizio cha udhamini...

fedechiesa's profile picture
fedechiesa1 year ago

Uyo n mwanajeshii🤣🤣🤣 mbona harem mashujaa alkuwa ajawai kufunga goli dhid yenu na leo kafunga imekuwaje

Mjomba Mrefu's profile picture
Mjomba Mrefu1 year ago

@PoisonAbdy kumbe kuna waha wana akili

Wizard's profile picture
Wizard1 year ago

Hana 🧠 huyu.. jez zao za msimu 24/25 zimetoka lini na hizo 5 kapigwa juzi tu apa asnahindwa kununua jez kwa7bu ya mdhamini? Simba fans wananunua jezi zao na walikula hizo 5 last season sasa apo shida ni mdhamini au timu.. kuna watu huwa hawafikirii wanalopoka tu au katumwa 🚮🚮

kertelRabbitry's profile picture
kertelRabbitry1 year ago

Nimependa jinsi alivyo na uzalendo kwa asili yake Tanganyika

MPANDUJI⚽'s profile picture
MPANDUJI⚽1 year ago

😂😂

Z E N C H U S A's profile picture
Z E N C H U S A1 year ago

😃

Related Videos

Kila mtu anataka kuwa...
6:47

Sensitive content

Kila mtu anataka kuwa...

Latto 𝕏

11,784 views • 1 year ago