Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kimataifa hii ni Penati ๐
59,520 Aufrufe โข vor 1 Jahr โขvia X (Twitter)
11 Kommentare

Nenda kapige sasa uko mataifani ๐

I'm Aloha Yumemi! I live in Osaka, Japanโก I love eating! Thanks for the likes๐๐๐๐๐๐๐๐ Please follow me๐ฝ๐

Sio kimataifa hata leo ingetokea upande wa Mashujaa ile ingewekwa.

Kimsingi hiyo ni penat ila kwakuwa tunaulevi wa simba na yanga hicho ndo kinatutoa akili nani ngumu sana sisi Tanzania kukuwa kwenye mpira

Ligi Ya bonga sahv ni kila mtu atumie rasilimali zake za kila aina kushnda mechi ila ukweli ni kuwa Simba na Yanga matukio Yao Yanaharbu ligi ila hamna namna

Kimataifa mbali sana hata yule refa aliyechezesha game ya Namungo Vs Simba ingekuwa penalt

Tuta la wazi kabisa

Sio kimataifa sema ukicheza na Simba hii ni penalty

Parody la shafii linauchapa mwingi

Tuendelee kuiharibu ligi yetu pamoja ,, kazi nzuri sana hii

Cheki na hii ๐๐๐ ila hawa๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ
รhnliche Videos
Sensitive content
Hii ni raiya ya University gani?๐
Ohta Ryota ๐ธ๐ฌ
58,050 Aufrufe โข vor 1 Jahr
Sensitive content
Hii wazee muwache mambo ya viagra๐
SWANGET_chebarit
10,064 Aufrufe โข vor 2 Jahren
