正在加载视频...
视频加载失败
Kinachoendelea muda huu hapa Mlimani City.
44,615 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Hilda hawa wajumbe, wakilinda imani na damu za waliopotea baada ya huu ujaguzi fanyeni fundraising mtupe acc halali za chama tuwachangie hawa wajumbe muwalipe posho ya pongezi kwa imani dhatibiti waliyonayo juu ya chadema na Tanzania.

Nimemuona mtu mfupi kaka Steve Nyerere hapo

😂😂😂😂

Bango la lissu halipo!? Lissu na heche niwatakie uongozi mwema kuanzia Leo

@HildaNewton21 ukweli usemwe uku mtaani msipotuletea @TunduALissu basi msije kujisumbua kwenye uchaguzi ujao kutushawishi tuwapgie kula wabunge wenu mwez w 10.. Hatuwatishi lkn tunasema ukweli

Kila laheri kipenzi mkatuletee Lisu

Alafu wameenda kushangilia kweny bango la mwamba 😂

Acha kabisa

Ila FAM hii aibu ameitaka mwenyewe aiseeh, kwahio nd kufa kiume huku au sio 😂

Watoto WA Baba
