Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kitoto cha 2k kapika jamaa hajaja🥹🥹😳😳

261,019 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля CLARA🖤
CLARA🖤2 лет назад

Hata mimi nisingekujanmtu anae kuwekea juisi kwenye chupa ya maji anaweza akakukaba usiku ukiwa umelala😹

Фото профиля Fumbo Khan
Fumbo Khan2 лет назад

Kama Mchambuzi wa Mambo mbalimbali nikimuangali tuu huyu dada nimegundua haya. -Mchaluko sana -hana Aibu -Malaya -hajui Kupika -Huwezi Kumpikia mwanaume Maharage -Ana Matusi sana Means hana Adabu na Aibu -Hana Kaba -Hana Sifa za Kuwa wife Material Dondosha hapa sifa zingine ulizo ona.👇

Фото профиля Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад

Dagaa kama zimejazwa maji mengi hadi zinataka kufufuka 😃

Фото профиля Chaurembo 🇹🇿
Chaurembo 🇹🇿2 лет назад

Kuwekewa juice kwenye chupa ya maji hata mie nisingeenda 😂😂

Фото профиля Presenter Noah
Presenter Noah2 лет назад

Kwani mtu kushiba ni kosa ?!? 🤣

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD2 лет назад

Sema katoto kazuri mnoo

Фото профиля NaNaLee_Tz🥀(🇰🇷)낸시♉️
NaNaLee_Tz🥀(🇰🇷)낸시♉️2 лет назад

Et juisi,,chakura Ni haki huyo kutokuja Like “nimehsakupikia chakura njoo ure” Hapana Nimeshiba mama ww kula😂

Фото профиля Hancy Machemba
Hancy Machemba2 лет назад

Kwa hiyo mitandaoni ndipo kuna mahakimu na washauri wazuri kwao?😂😂

Фото профиля HeartSync HUB
HeartSync HUB2 лет назад

Hawa watoto wana moto jamani khaaa😆😆 kazi ipo hapo

Фото профиля LUTENI FEKI
LUTENI FEKI2 лет назад

Haya mambo ni unkwepekable things kama utaendelea kuwa na hayo makucha

Похожие видео