Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
🔈 KKK - 2013 PM Kapiga ComeBack After 12Yrs
11 Yorum

Juliana(PHD)1 yıl önce
Bila Veta mwakani hupati kazi gavo.

Gmmytz🇹🇿1 yıl önce
Mwenye macho haambiwi tazama ila itoshe kusema @ccm_tanzania inaonekan kupoteza mwelekeo hasa kwenye sera zinazohusu vijana na ajira wanazid kuchochea moto na kusababish maumivu makali kwa vijan

Abouh1 yıl önce
Na tukipata ajira viwandani je loan board watakuja kudai Chao au laaaah...

Best Wallet1 yıl önce
🚀 Best Wallet - NO KYC crypto wallet 💸

MKAGUZI MKUU1 yıl önce
Video ya hotuba anayo @mkaguzi_mkuu pale pinned

Kinlop🦅1 yıl önce
Mikato💔

Mfarisayo1 yıl önce
Waturudishie na hela za ada maana walikua wanajua wanatuibia si tungeenda huko veta moja kwa moja🤣

nyakyusaorg1 yıl önce
Kwani mkato haujalala man

Serge Jordan Gnabry1 yıl önce
Hahahaha mwanetu hujachelewa kuwapigia verse 😀😀😀😀

mbunge wa Busokelo1 yıl önce
Hivi huyu hajasoma BAED kweli maana nina ona ana akili za waalimu wa chama cha Neto

Hijja Msanii Tz 🔶1 yıl önce
unaamin umeme wa magarii unahitaj mazezeta..
Benzer Videolar
2:21
Sensitive content
She got pregnant at 12yrs😭
NND
104,402 görüntüleme • 4 ay önce
