KONDA MWENYE DEGREE YA MINING ENGINEERING ππππ
@Ganslay_tz19K followers
93,562 views
10 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MdumaCoin
Watu wanajua kukatisha tamaa,juzi bhna nimekutana na aliyekuwa dem wangu tulisoma wote chuo kikuu,nimfanyakazi wa bank NMB himo pale mimi now ni maching akanionea huruma eti jman mduma pole mimi npo hpo nmb,chukua namb yang unitumie vyeti vyko nikusaidie, acha tu,ile njia sipit.
14 likes

@Eddo142
Hata sisi wanafunz mnatukatisha tamaa π€£
7 likes

@Ganslay_tz
πππ hata mimi
1 like

@shajaratmubaraq
Tuna fumbokhan ana GPA ya 4 na kawa chawa bora huyo konda
4 likes

@I_am_stee
Tulia wewe, Bado mmoja tunasepa
3 likes

@iambaizo
Kweli elimu umekosa thamanai degree zimetapaka kama njugu ,Wasomi wanadharaulika Sanaπ€£π€£π€£ππ
2 likes

@IamJptboi98
Nikiza bado muongo tu mpaka kwenye kuigiza, vitu vya hombolo bado unavyo π
2 likes

@kigogowasamia
Nimecheka sana
1 like

@TravesSenior
πππ
1 like

@IddAthmani1
Oyaaaπ
1 like