Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kuimba ni kusali mara mbili😍
15,917 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
9 Kommentare

Iman Juliusvor 1 Jahr
Yes jana hii kanisan kwetu kinyerez tulikuwa na missa nzur sana tuliungana na segerea, kisukuru na kifuru pia

ellyvor 1 Jahr
Kama hujawahi kuimba kwaya hili vibe huwezi lielewa

Marcednyovor 1 Jahr
Hakika kabisa Uo wimbo lazima ujongee mazabahu ya bwana kupokea baraka tena kwa Unyenyekevu🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Shamba Boyvor 1 Jahr
Mara nyingi Kuimba huleta Umoja wa roho na Mwili

NinjasAlpacinovor 1 Jahr
Ukiwasikiliza vizuri hao ni sauti ya tatu(3). Sauti ya kachumbali😂😂😂

Classickizitovor 1 Jahr
Aisee jamaaa anaimba Toka ndani 🔥🔥

Ludo Mwikwabe🤪🤪🤪🤪vor 1 Jahr
Dah.,,,utume nninaoupenda sana #15yrs till today,,,kuimba ni haha..

G-Juniorvor 1 Jahr
Ukisikia Tumwimbie Bwana katika Roho na kweli ndo hii👏👏👏👏

shinjimagerevor 1 Jahr
Tenors 🙌👏👏🥳

