Loading video...
Video Failed to Load
Mtoto kazaliwa mara mbili..
26,310 views • 1 year ago •via X (Twitter)
7 Comments

Latto 𝕏1 year ago
Hichi Kisa nilikuwa nakiona kwenye the Good Doctor Series. Leo ndio nimekionq leo live.. Video kwa Comments 👇

Karim1 year ago
Mala ya kwanza alipotolewa tumboni na kuuona mwanga wa dunia ndio ilikua uzalio wake. From there walimrudishia tumboni then alipokua wakamtoa thats it. Kusema alizaliwa mala mbili ni uongo

the 11 year ago
Ukimtoa mtoto nje manaake mapafu yanaanza kufanya kazi na baadhi ya organs zina stop kufanya kazi sababu ni temporary kama vile foramen ovale,Sasa walimrudisha Vipi kuhusu mapafu,vipi kuhusu placenta mmmh inafikilisha

BIO-DOng hun1 year ago
Pumbav zenu,🤣🤣🤣🤣,, sa huko ndo kuzaliwa mara mbili?

Solar Heavy1 year ago
take the journey

Zakivu241 year ago
Hila awa madoctor mhh tuache tyu

Swaumu Mzindawa1 year ago
Mmhhhh
Related Videos
The Legendary Jump at Miti Mbili....
Kawangware Finest ™ - Geoffrey Moturi
53,128 views • 5 months ago


