Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Kula chuma hikoooooooooooooo..!
17,967 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Yani jamaa wana rush mpaka drone ili tu kuhujumu mikutano ya CDM, kila CDM wanapoenda kuna picha za drone zinazotelewa na page za CCM, jamaa wanaogopa sana CDM yani 😆😆

LEO NATAKA TENA 😌

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Uzuri Kaka Boni soon tutakuwa wote CHAUMA hapo unabuy time kidogo

Washenz hao achana nao

Wengi wanapenda upinzan sema wamekosa fursa ya kupata wa kuwapigia kura

Hivi huu ni mkutano? Hata mie jimboni nikiwa na ww hivi sipost

We matraakoo kwamba hamna propaganda mpya Kwamba vijana wa CCM bado mbinu Yao nikupiga mikutano picha mapema kabla haijaanza ndiyo mbinu Tukisema mmekwama tunakosea #NoReformsNoElection

Hawa ponjoro wanakupotezea muda tu, michezo yao inajulikana tu

wanakazana kusema chadema haina mvuto ila ndio wanaongoza kuifatilia

😂😂😂 wanafikiri hao ni wakuletwa na mabasi au wamelipwa hao ni wenye mapenzi mema au wanasahau ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi
