Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kumbe Familia 😀
11 Yorum

Pisikali bongo1 yıl önce
cha kienyeji

Solar Heavy1 yıl önce
perfect beach vibes

KARANI MTUNZA MAFAILI1 yıl önce
Kwaio unamchonganisha na club yake ili akose ridhiki au,, acha ungese fala wewe🚮🚮

Athumoney1 yıl önce
Acha uchonganishi ww unavozua taharuki kwa watu unataka dogo apotee kimpira au kumbuka sio mchezaji wa simba tu pia ni mchezaji wa taifa unapopost kitu hakikisha unafikiria mara mbili we ni mtu mzima mzee

Pisikali bongo1 yıl önce
mali safi

Bunyinyiga1 yıl önce
Akae tu nje kama Ayubu na Manura

Lau1 yıl önce
Unazingua msee. Kuleta video za zamani ili kuzua taharuki ni kuikosea afya ya mpira na wachezaji wa huo mpira. Kama chombo cha taarifa za michezo umezingua sana msee

Emilius Kifigo1 yıl önce
Kaka unatafta Maisha acha kumwaribia dogo Team zetu unazifamu?Kijili adi wa Leo hapati mda wa kucheza so ungemsaidia kama Mtanzania mwenzio

Mohamed Mbwambo1 yıl önce
Admin Leo jimalizee tu 😂😂😂

Ahmet Deniz 🇹🇷1 yıl önce
Kijana wetu huyu😀😀

Gregory Charles Ndaki1 yıl önce
Weka Bench hadi ajitambue
