Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

Kumbe si jepesi tunavyodhani.

45,918 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Mamwavi_Nkabasia 的头像
Mamwavi_Nkabasia1 年前

Mpina alikuwa Naibu Waziri wa fedha kabla ya kuhamishiwa Mifugo na uvuvi; alikuwa serikalini anajua anachosema.

Vicent 的头像
Vicent1 年前

T 42, wakati bajeti ni 50T. Ana hoja ya msingi ila namba anazingua

one for real 的头像
one for real1 年前

Huyo mwanamke hana maana hata ungeandika kurasa 600

Kunta Kinte 的头像
Kunta Kinte1 年前

Kwani wanasoma basi?

DR VAGI VARANGATI 的头像
DR VAGI VARANGATI1 年前

@LuhagaMpina wewee ni Rais ujae tunaomba wakikunyima ubunge utulie ... sisi watanzania hatukudai..umepiga kazi uliyotumwa na watanzania.. na ndiyo maana jana umeambiwa wewe ni mbunge wa Taifa. Basi nasisi tunasema Wese ni RAIS ajaye wa Taifa hili.

Walter Mathayo 的头像
Walter Mathayo1 年前

Itakuuma pale walioba wakapandishwa vyeo ww ukafurushwa

IBRAHIM TRAOURE 的头像
IBRAHIM TRAOURE1 年前

Lakini Bado hajali, nadhani hata hakuisoma.

moff_gideons_sankara🗨 的头像
moff_gideons_sankara🗨1 年前

Raisi hapendi kusoma... na wanaomsomea hawasomi kwa usahihi

Mr.Chiks 的头像
Mr.Chiks1 年前

Nimekumbuka ule msemo,"kesi ya ngedere kwenda kushtaki kwa nyani."

SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 的头像
SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬1 年前

🤔🤔