Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kumbe Lydia alikataliwa BSS 🤦♂️
96,409 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Like that "bahati mbaya ye aondoki ila we ndo utaondoka"master j is one of the worst when it comes to criticizing artists he pretends like his the God of music.

- Rogue Satellite

Pale BSS hawajawahi mtoa star yoyote wa maana mastar wakubwa waliopita pale wote wamekataliwa

Kukataliwa kunakufanya ujiulize then unapambana kisha unarud imara ..ni kam tu mwanaume anayekataliwa na mwanamke kisa hana pesa lazm akajiulize na aanze kuzitafuta tuliona hat mifano ya akina Konde boy lakn baadae akapambana akarud kweny game

Wakati wa Mungu ndio wakati sahh

Kabisa kk

Walimchagua yule yuzzo wakamwacha huyu dada😀

Bss wanachotwa tu

Huyu kama harmonize Tu wale walevi WA BSS hawamjui kitu kaka

Kabisa kaka

BSS wanaua vipaji...sasa mtu kama s2kizzy unamfanya awe jaji kwa vigezo vipi
