正在加载视频...
视频加载失败
Kumbe ndio huyu 😃😃
11 条评论

nipe gwaraaa2 年前
huyu ukimdai tafuta njia nyingine usimpigie simu

HeadBoy - SEO2 年前
huyu alikuwaga ananikera sana nshatuma nauli alafu napiga nakutana na sauti yake

بو سالم 🇹🇿2 年前
😁😁

mtanganyika wa 521 年前
Binafsi nawashukuru sana Airtel kwa kuondoa ile sauti iliyokuwa inasema "simu yako inadaiwa"😆😆😆

بو سالم 🇹🇿1 年前
Duuh 😂😂

𓏤𓏤𓇌 Miosis 🧬𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 mitosis 🧬𓁿𓋙2 年前
Kuna Ile haipokelewi hiyo ndio unaweza tamani umfuate kabisa

بو سالم 🇹🇿2 年前
😁😁

Innocent Godfrey2 年前
Chonde chonde wasimtafute yule wa halotel anaesema bando limeisha..😅

Prodigal Son 🐴2 年前
She has an amazing voice......nipige tena nisikie.

Bernard Chuwa2 年前
😀 Hapo kwa kikristu kaua kweli

بو سالم 🇹🇿2 年前
😁😁 sana
