Loading video...
Video Failed to Load
Kuna cha kujifunza PART ONE
10 Comments

Part 2

Part 3

Nilichoona jamaa kamtaja Mungu kuliko kitu chochote. Jamaa ameonyesha kwa vitendo Tafsir ya mafanikio sio pesa basi tu ni vile umbumbu wa duniani

Namjua sana huyu jamaa anaishi kawe ukwaman na alishawahi kuiba mtungi wangu wa gesi na kingereza chake hicho nilikuwa sina pesa ndani niliumia kichizi

Side dalali wa magari mpaka kuwa mfanya biashara wa magari, mwanangu uyu sana nampata tume hustl nae sana, ila Jah ndio kaanza kumbless

Kitu nimeshika hapo ni kwamba Jamaa alikuwa na Pesa zikakata akakata mpaka Ringi sasa amerudi Kwenye Mstari aloo🙌

Wanaume Mungu alituumbia mioyo yetu tofauti kabisa. Wanaume tunamioyo mizuri ndio maana tunapendana, Ndio maana tunaweza hata kuishi na watoto ambao sio wako kwa roho safi kwa sababu mioyo yetu imejaa upendo. Umewahi kujiuliza kwanini wamama wengi wanawapenda watoto wa kiume.?

Nimekula hadi utulivu jamaa ndio hivo binafsi naona kaamua kujifia na madini yake..

Ukiwa na akili timamu tu. Utajua kuna la kujifunza kutoka kwa kila mtu.

kuna video nyingine huyu jamaa anamwambia mwanae ampe kazi kachoka maisha ya uteja huyu mwamba ni smart generation sana

