Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Kuna jmaa anasema dunia ni flat.

12,028 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

Hilary Mbowe's profile picture
Hilary Mbowe1 year ago

Kwahiyo ata kwa sense ya kawaida huoni hiyo ni greenscreen vidio!! mavidio ya kutengeneza lab na vidio za uhalisia huwezi tofautisha ? hiyo move ya dunia kwa speed inayozunguza ukiwa uko juu uyafanya timing gani kurudi nchi uliyotoka kama inazunguka ? Unashindwa kujiuliz ata hayo

Sia Da Vinci💎's profile picture
Sia Da Vinci💎1 year ago

Punguza ujuaji. Video zimetolewa na The European Space Agency (Eka).

夢波あろは🍼🎀シンセカイヒーロー's profile picture
夢波あろは🍼🎀シンセカイヒーロー1 year ago

I'm Aloha Yumemi! I live in Osaka, Japan♡ I love eating! Thanks for the likes😆😆😆💖💖💖💖💖 Please follow me😽💖

NSK (Nasri kulemba)'s profile picture
NSK (Nasri kulemba)1 year ago

hiyo sio picha halisi ya Dunia , ni CGM .. alafu kutokana na thiory yao .. kasi ya dunia hakuna chombo inaweza kunasa mzunguko wake ama hapo wameweka slowmotion 😂😂😂

Sia Da Vinci💎's profile picture
Sia Da Vinci💎1 year ago

Dunia inazunguka kwenye mlingot wake kwa speed ya 1600km/hr. Kombora la hypersonic linaenda kwa speed ya 5000km/hr na linakuwa filmed.

Batholomeo Thomas🇷🇺🇨🇳🇰🇵🇮🇷⚔️🎖️'s profile picture
Batholomeo Thomas🇷🇺🇨🇳🇰🇵🇮🇷⚔️🎖️1 year ago

Na hiyo camer wanayoichukulia ni ile yakufanya kitu kionekane duara na waweze kuchukua picha ya kitu kikubwa mithili ya Duara

Rwabudugu🇹🇿's profile picture
Rwabudugu🇹🇿1 year ago

Labda huko kwao!

Maja wizdom1215's profile picture
Maja wizdom12151 year ago

Mmh ebu wewe utueleze ambaye unasema sio flat

La Tramonto's profile picture
La Tramonto1 year ago

Satelite mbona hazionekani hapo? Na wanasema zimezagaa sana kuizunguka dunia

Sia Da Vinci💎's profile picture
Sia Da Vinci💎1 year ago

Iyo ni picha ya satelite

~Eng AN Kaswen's profile picture
~Eng AN Kaswen1 year ago

Dunia ni Flat ndio,

Related Videos