Loading video...
Video Failed to Load
Kuna wadada wana maneno mazuri jaman🔥🔥
10 Comments

Mudryk Jr1 year ago
Sio kila maneno no mazuri wengine wana maneno ya kitapeli

KilwaFinest1 year ago
Yani hadi unajiskia burudan kabisa

MIKE DAY1 year ago
Haya maneno tu we tulia kuchangamke😁

funnyboe_tz1 year ago
Kaka Hadi nimefurahi aisee inapendeza

JAJA 171 year ago
Mdada kama huyu kweli haitakiwi kukosa amani ya roho

MR.CHILD'𝕩 🎨🇹🇿1 year ago
Duh sauti anayo aisee na ni kweli sio mwanamke ambaye wewe umemuandaa kichwani

JERRY1 year ago
Mungu awatunze wadada kama hawa

@Esther Muli1 year ago
Hapa ndipo tunasema maneno ya kumtoa nyoka pangoni

Ambele Young1 year ago
Unaweza ukahonga nyumba ya urithi kaka 😂😂😂

Mvumbuzi📝1 year ago
Kuwapata wanawake wenye maneno matamu kiasi hiki ni nadra sana
