Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kuna watu wana utani sana

86,184 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля ASSEY.
ASSEY.1 год назад

Watu wanakuja na maneno eti hicho kifo Mungu kapanga. Huo uzembe tusimshirikishe Mungu. Mpango wa Mungu tufe katika uzee ulio mwema... Ifike mahali wapigwe faini kubwa.

Фото профиля MAIPAMBO JR
MAIPAMBO JR1 год назад

Labda walikua wana zunia engene isianguke😀😀

Фото профиля Adventure-360
Adventure-3601 год назад

😅

Фото профиля HellSpawn
HellSpawn1 год назад

Huyo dereva, tajiri wote wawekwe ndani na leseni ya biashara ifutwe, ili wengine wajifunze. Huo mnyororo unahold vipi stress za vibration from the engine 🚮. Walikuwa wanaenda kutoa roho za watu hawa mashetani

Фото профиля Al-Masoud Bin Saleh
Al-Masoud Bin Saleh1 год назад

Tatizo ukaguzi ni kama unafanyika kwa msimu. Barabarani kuna mabasi mengi mabovu zaidi ya hili nayanabeba abiria.

Фото профиля Lactose
Lactose1 год назад

Matajiri wapo after money! Wana slogan yao “Ukifa utaenda kupewa mwili mpya”

Фото профиля Mani Machuppa
Mani Machuppa1 год назад

Sometimes tuwe wawazi kweli unasafirisha abiria hivyo chombo hakiko salama

Фото профиля TUNECHI🇦🇺
TUNECHI🇦🇺1 год назад

Ah wana mzaha na uhai wetu

Фото профиля 𝐀mbwene
𝐀mbwene1 год назад

Hatupo serious

Фото профиля Pilot ✈️
Pilot ✈️1 год назад

Hongera kwa Jeshi la Polisi, kazi nzuri.

Похожие видео