Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Kuna wanawake wapole kupitiliza. 💔

328,629 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

🌙Sky profil fotoğrafı
🌙Sky2 yıl önce

Ila utani mwingine sio mzuri bibi atabaki kuwa bibi, mama atabaki kuwa mama, na mke atabaki kuwa mke, kila mmoja ana nafasi yake umuhimu wake Ndio nini kumuweka dada wa watu roho juu

MIRIAM💜 profil fotoğrafı
MIRIAM💜2 yıl önce

Niliona video nzima mke anayemzungumzia ni Bibi yake Bhana

V E N N A📸 profil fotoğrafı
V E N N A📸2 yıl önce

Hapo ni bibi

Genius Milly 24 profil fotoğrafı
Genius Milly 242 yıl önce

Yaani kuna muda wanaume tunalazimisha wenyewe kulisogelea kaburi asee khaaaaa huyu Kenge mbona Ana roho ngumu hivi ptu

Hatangimana profil fotoğrafı
Hatangimana2 yıl önce

Huyo atakua bibi yake au binamu yake

JoJo🦓 profil fotoğrafı
JoJo🦓2 yıl önce

Huyo ni Bibi yake tu ndio mwenye sifa hizo alizompa😊

𝕏 profil fotoğrafı
𝕏2 yıl önce

Unnecessary, let the bride enjoy her day and make it about her, then discuss this nonsense another day.

AJ Photography profil fotoğrafı
AJ Photography2 yıl önce

Jamaa kazingua anamuumiza dada wa watu daaah

rama47 profil fotoğrafı
rama472 yıl önce

@Mkuruzenzi nikiwa mkubwa nataka kuwa na confidence kama za huyu blood

abbleluv profil fotoğrafı
abbleluv2 yıl önce

Huyu mwamba anisaidie mganga wake tu.

Benzer Videolar