Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Kungwi wa Bosster........🤣🤣🤣
24,385 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Erection inasababishwa na mzunguko wa damu kinywaji kama hicho kinachochea mzunguko wa damu wa lazima ndio maana utaona mabadiliko baada ya kutumia ewe kijana usijaribu kutafuta raha za muda mchache.. ‘Madhara yake itakusababishia magonjwa ya moyo na upungufu wa nguvu za kiume

Hii unaweza kukupa stroke ukapoteza maisha don’t waste your life kwa sababu ya K

this beat is wild

Ndo kifo iko

@kabigwa_78 x @MfalmewaX1 x @McinikaWaLamar kwenye hili kuna uhalali wowote wa kitaalam? Et mzee @kabigwa_78 😀😀

Mbona sura yake ni kama ametoka kuzimu! Hajatumwa na shetani kweli huyu!

nshort soon hicho kinywaji kitaadimika kma una hela nunua mzigo wa kutosha weka store

Mbona parapanda tena

unakufa au🙌🏻

Sasa iyo parapanda imeingiaje alieelewa..

😳
