正在加载视频...
视频加载失败
Mpishi wetu wa leo🤣🤣🤣🤣🤣
12 条评论

Kenan1 年前
Sema jamaa ukute sisi ndio wanatuona kama wazungu wao ndio wanajiona WAAFRIKA 😊

🅜︎🅦︎🅐︎🅖︎🅘︎🅣︎🅞︎🏀1 年前
Ni kweli kabisa aisee

Solar Heavy1 年前
take the journey

Migho1 年前
Kwann apikie mkono mara kaokota likijiti katumbukiza humo huyo jamaa nadhani wangemfukuza hapo

Koku Shekya🇹🇿1 年前
Nani kawapa nyanya hawa jamani 😭😭😭

🅜︎🅦︎🅐︎🅖︎🅘︎🅣︎🅞︎🏀1 年前
Watu wanaenda kuchukua content kwao so wanawabebea mjini but now wanapiga hadi sprite🤣

Chaurembo 🇹🇿1 年前
Hawa watu wanaoenda kuwatembelea kwa ajili ya kupata contents wanawaharibia utaratibu wao wa maisha naona wapigwr marufuku. Walianza kuwapa soda sahizi nyanya na kisu akati wanakulaga nyama kisu meno yako😅😅

Justagirl1 年前
Hiyo mikono yao ni chuma au😂😂😂😂

🅜︎🅦︎🅐︎🅖︎🅘︎🅣︎🅞︎🏀1 年前
Mpishi ni mlafi mno

Polycarp The Bibliophile1 年前
Kaskazini hawawezi kubali kabisa kwamba hawa no wenzao 😅😅

Jenipher1 年前
Hawa watu ni wachafu,😉😉😉👐

🅜︎🅦︎🅐︎🅖︎🅘︎🅣︎🅞︎🏀1 年前
Kula msosi huo
