正在加载视频...
视频加载失败
"Kusema cha ukweli..." 😆
10 条评论

Tuheri Edward2 年前
Kuna mambo mengine unatakiwa kukaa nayo tu pasipo kuyasema hasa kama umedanganya kwenye mahusiano.

Ummu Haydar2 年前
mwanzo wa trust issues kwenye mahusiano yao, I don’t think huyu dada atamuamini tena next time

Mbuzi2 年前
"Gen Z miyeyusho, mwanaume haitakiwi kukubali ata ukikamatwa una Zini kataa." ~ @NgowiGold

P'site Shio2 年前
Nipeni number yake nimuwekee kitu chochote pale M-Pesa

Brenda2 年前
Angeendelea tu kuficha uongo wake na sio kwamba hatujui tunadanganywaga ila shauri yake…

Kemmie🖤2 年前
— a finished man.

~Brown Bear~2 年前
Never ever come clean,esp in situation like this🚮😆

ANGELO2 年前
Kategwa na tabasamu kwamba hakuna shida we nambie tu, akajaaa

mkapa2 年前
Huyu fala kwann kasema ukweli? Tulishakubalian hakuna kusema ukweli hata ikamaatike vipi

Minzi Malulu2 年前
Smh 🤦🏾♂️ unakubalije kijinga hivi 😟
相关视频
0:28
Sensitive content
Lakini kusema tu ukweli hawa madem hucheza uchi kwa klabu huwa wanaolewa na akina nani😂 Kila mtu ameona sehemu nyeti zao😂😂
~•𝐊𝐔 𝐂𝐎𝐌𝐑𝐀𝐃𝐄•~
36,153 次观看 • 1 个月前
