Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kipindi cha JPM sidhani kama angeweza kusema aya 😭

39,518 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Mocks'
Mocks'vor 1 Jahr

Mbona kawaida hiyo.Kwa mtu kama Kigwangala hawez kukosa b.10.Maana ukienda kwenye matajirj mule bungeni hiyo B.10 yake ni ndogo sna.Angesema cash hapo ndo tungeshangaa ila asset value ni kawaida kwa mtu kam yeye.

Profilbild von mkaanani
mkaananivor 1 Jahr

Tumbo ambalo limelewa halijawahi kuiacha akili ikawa salama,Hapo anaonyesha wazi ubunge ni sehemu ya kusaka utajiri na vyeo siyo kutatua kero za wananchi..Ujinga wa wapiga kura na shida zao ndio mtaji wao..kujizolea utajiri

Profilbild von CHADEMA KANDA YA X
CHADEMA KANDA YA Xvor 1 Jahr

Achana na JPM. Ushaenda Nzega vijijini? Sidhani kama nchi hii kuna jimbo maskini kama huku kwa Bilionea Kigwangala!

Profilbild von Samwel Theophilus Thomas.
Samwel Theophilus Thomas.vor 1 Jahr

Kuwa tajiri siyo jambo baya. Kibaya ni ufisadi. Ila tungekuwa matajiri tungeishi vizuri zaidi. Ni vizuri tujifunze kwa matajiri na siyo kuwachukia. Kama mtu ni mtoto wa masikini kabisa na anakua bilionea cha msingi cha kufanya ni kujaribu kujua ni njia gani ametumia…

Profilbild von Duke Sam
Duke Samvor 1 Jahr

Lakini huyo c alisema juzi baada ya kushushwa cheo alitetereka shuleni ada za watoto ikaanza kuwa tabu mara madeni bank wakaanza kumtembelea. Dah.

Profilbild von Mr. Kgt
Mr. Kgtvor 1 Jahr

Bilionea alienda kukopa pikipiki kwa mwamedi😂

Profilbild von BERNARD  KOMBA
BERNARD KOMBAvor 1 Jahr

Afu mnakuja kutuambia nchi imepiga hatua kumbe viongozi wamepiga hatua

Profilbild von Mtanga 🇹🇿🇺🇬
Mtanga 🇹🇿🇺🇬vor 1 Jahr

Utalii kapiga nyingi sanaa mabillion

Profilbild von Tissaphernes
Tissaphernesvor 1 Jahr

Umasikini sio sifa

Profilbild von mwiba09
mwiba09vor 1 Jahr

Moja ya waandishi wa habari wanaofanya vizuri katika tasnia ya habari.

Ähnliche Videos