Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
"Kusema cha ukweli..." 😆
10 Yorum

Tuheri Edward1 yıl önce
Kuna mambo mengine unatakiwa kukaa nayo tu pasipo kuyasema hasa kama umedanganya kwenye mahusiano.

Ummu Haydar1 yıl önce
mwanzo wa trust issues kwenye mahusiano yao, I don’t think huyu dada atamuamini tena next time

Mbuzi1 yıl önce
"Gen Z miyeyusho, mwanaume haitakiwi kukubali ata ukikamatwa una Zini kataa." ~ @NgowiGold

P'site Shio1 yıl önce
Nipeni number yake nimuwekee kitu chochote pale M-Pesa

Brenda1 yıl önce
Angeendelea tu kuficha uongo wake na sio kwamba hatujui tunadanganywaga ila shauri yake…

Kemmie🖤1 yıl önce
— a finished man.

~Brown Bear~1 yıl önce
Never ever come clean,esp in situation like this🚮😆

ANGELO1 yıl önce
Kategwa na tabasamu kwamba hakuna shida we nambie tu, akajaaa

mkapa1 yıl önce
Huyu fala kwann kasema ukweli? Tulishakubalian hakuna kusema ukweli hata ikamaatike vipi

Minzi Malulu1 yıl önce
Smh 🤦🏾♂️ unakubalije kijinga hivi 😟
