Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kushakua kubaya!

10,058 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 13

Фото профиля CLUB Magufuli
CLUB Magufuli3 месяцев назад

Siyo Nchimbi tu, Watanganyika wote tunataka atoke madarakani SASA HIVI!

Фото профиля Against the World
Against the World3 месяцев назад

Jamaa kang'ang'ana na kukariri majibu yake aliyoandaliwa kusema. hata akiulizwa swali anarudi pale pale RUBISH

Фото профиля KINYAMAGOHA
KINYAMAGOHA3 месяцев назад

Sasa CHADEMA wanahusika nini tena hii ng'ombe hii. Ina maana Nchimbi alikaa na CHADEMA? Pili muuliza maswali anakwepesha swali. Vyama vingine huyo kavitaja wapi wakati mtoa maada anaitaja CHADEMA @ChademaTZ2 Direct. Inaonekana hamjitumi vilivyo ninyi watu kwa ujumla.

Фото профиля Marley Sumaty
Marley Sumaty3 месяцев назад

Njaa hizi ni mbaya sana

Фото профиля Auz Almasi
Auz Almasi3 месяцев назад

Mnalipwa kiasi gani? Maana mmemwagwa kuongea ujinga! Oktoba 29, 2025 haitosahaulika kwa huu usanii wenu wa kila siku kuja na uigizaji mpya!

Фото профиля Benard Waitara
Benard Waitara3 месяцев назад

Wewe bwege,,, KATIBA MPYA , tunaitaka Sisi Watanzania wote,, yani Raia wote wa Tanzania ndio tunataka Katiba Mpya ndiyo itatutoa kwenye huu Udikteta uliopo kwa sasa

Фото профиля Liv
Liv3 месяцев назад

Hizi Akili Za Watanzania wasio jitambua.

Фото профиля Maasaiolesabore
Maasaiolesabore3 месяцев назад

Ampinduaje!!wakati yeye ni msaidizi wake na wewe unaongea kama nani!?maana jeshini ranks matter

Фото профиля P H I L
P H I L3 месяцев назад

Kijana mdomo uo watu waki kutaka dkk 0

Фото профиля Dr. Makemie Mabula, PhD.🇹🇿
Dr. Makemie Mabula, PhD.🇹🇿3 месяцев назад

An idiot arguing

Фото профиля Maureen C
Maureen C3 месяцев назад

Aiseee Hawa ndio wakina nani ? Hawa ndio wanachama wao ?

Фото профиля Maasaiolesabore
Maasaiolesabore3 месяцев назад

Hawa wana wasiwasi wa kitu gani wakati rais anayetawala hana hata mwaka mmoja!!ni woga au nui uchawa wa kijinga!?wao wangekaa kimya waone rais anasema nini,maana yeye ndiye bosi wake!!wanamwaga mchele wkt hakuna chakula na ndege kuku wamejaa tele!!

Фото профиля Jacksonsimion
Jacksonsimion3 месяцев назад

Ukipelekwa mahakamani utaweza kupeleka ushahidi kwa unayo-yasema

Похожие видео