正在加载视频...

视频加载失败

36,076 次观看 • 2 个月前 •via X (Twitter)

14 条评论

poz wa chaka 的头像
poz wa chaka2 个月前

Alafu mabosi wanasema hatufanyi kazi,,wateja hakuna kabisa mzee nina wateja zaid ya Mia tano nikipost watsup sy kama zamani watu wanaangalia wanapita ...wakija shop n window shop 😤

SIR TIVA 的头像
SIR TIVA2 个月前

Poleni wakali

poz wa chaka 的头像
poz wa chaka2 个月前

Bila kuchoka familia

Ochu 的头像
Ochu2 个月前

mkubwa hii post inasema "made with AI" 🤔

Angel Chelsea 🖤 的头像
Angel Chelsea 🖤2 个月前

Kiukweli biashara ni ngumu sana kipindi hiki

Shamba Boy 的头像
Shamba Boy2 个月前

Sio Poa mtu wangu

SIMA 的头像
SIMA2 个月前

Wanachuo wapo likizo sahizi subirini warudi kuanzia mwezi wa 10. Biashara nyingi zinategemea wanachuo hapo wakiondoka tu basi na wengine walio jirani kabisa na chuo huwa wanafunga biashara mpaka warudi

Bahati 的头像
Bahati2 个月前

TUKUTANE MO29 2026

momessi 的头像
momessi2 个月前

WAKRISTO NA WATANGANYIKA WATAKUJA KUNUNUA

DREAM CHASER 的头像
DREAM CHASER2 个月前

@Sativa255 kaka angalia Dm yako

The hustler 的头像
The hustler2 个月前

For sure hali n ngumu

ShacMan 的头像
ShacMan2 个月前

Wakachukue zile billions of money walizochangia form

NAMELESS 👀 的头像
NAMELESS 👀2 个月前

Made with AI

Comfortable Zone 的头像
Comfortable Zone2 个月前

Oyaaaa hali ni ngumu sana

相关视频