Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Kwa ajili ya Mwenyekiti

24,787 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Nyando_Mwaliwaya🇰🇪🦁 profil fotoğrafı
Nyando_Mwaliwaya🇰🇪🦁2 yıl önce

Kwa wasiofahamu, Anayezungumzwa hapo ni mojawapo ya wenyeviti wa 2020. #kwahisaniyaMagu

YOHANA GAGAGA profil fotoğrafı
YOHANA GAGAGA2 yıl önce

Brother uliwahi kusema acha shida na changamoto zinazosababishwa na ccm kwetu sisi wananchi zituegemee make sometimes most of the time huwa tuna tabia ya kujizima data,tunashangilia mission za ccm ambao hawana uchungu na watu wa nchi hii

Mr.Eagle 🦅 profil fotoğrafı
Mr.Eagle 🦅2 yıl önce

Kuna maeneo wamama wanateseka sana, na hili pia kama mama yangu asingekuwa imara yangetukuta kabisa inauma sana

zaibanitechnologycompany profil fotoğrafı
zaibanitechnologycompany2 yıl önce

Wanawake sio watu wa kuwaamini sana maana matatizo mengi ktk familia wao ndo chanzo kikuu. Unyenyekevu wa waume zao hawana wao ni ubabe tu sasa wanaume wanafanya maamuzi ambayo matokeo yake ndo tunayoyaona.

SAMALI profil fotoğrafı
SAMALI2 yıl önce

Machungu sana kwakweli watu wamejeruhiwa sana mioyo yao

WilleTz profil fotoğrafı
WilleTz2 yıl önce

Nimeumia sana sijui kwann nchi tumefika hatua hii any way ccm imeumiza sana watu.

Noel kirita profil fotoğrafı
Noel kirita2 yıl önce

Ccm ni tatizo sana wenyeviti wa magufuli hawa..

IF U KNOW U KNOW profil fotoğrafı
IF U KNOW U KNOW2 yıl önce

Waziri wa Ardhi nyumba na makazi @JerrySilaa juzi tu Arusha na mikoa mingine walikuwa na program inaitwa kliniki ya Ardhi sasa sijui kama imefikia walengwa hasa wale wasio na uwezo kiuchumi au ni ubakaji wa haki wa viongozi kama mwenyekiti hapo.

elyneema yuda🇹🇿🇹🇿 profil fotoğrafı
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿2 yıl önce

Mwenye kiti huyu ni tapeli na akamatwe

free sudan 🇸🇩 , palestina 🇵🇸 and ukraine 🇺🇦 profil fotoğrafı
free sudan 🇸🇩 , palestina 🇵🇸 and ukraine 🇺🇦2 yıl önce

Mama ameniliza huyu!

Benzer Videolar