Loading video...
Video Failed to Load
Kwanini huamini dini? Link:
208,728 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

HESHIMA JOHN1 year ago
Jamaa ana madini adimu sana,na falsafa zake lazima zikupe tafakuri...niliwahi kukutana naye mabibo na akanipa historia ya Tanzania na vurugu(kwa mujibu wake) za Mwalimu Nyerere aiseee #Salute #hatuazamtoano

Temidayo1 year ago
Mnoma

Solar Heavy1 year ago
have you heard this one yet?

Khamis Matallah1 year ago
Umemuuliza swali zuri sana ambalo hata Mimi nilitamani kusikia majibu kutoka kwake cha ajabu akarusha.

Temidayo1 year ago
Nenda YouTube.

生き甲斐 ikigai1 year ago
Soma aya ya 14 vizuri.

Temidayo1 year ago
Tazama Interview ina jibu lako.

Kabongo Mmalinda1 year ago
Azungumzie huo ukristo uislam Hana elimu nao

mr planner savage1 year ago
Dini ni siri Na ukionekana kuigundua siri Unageuka msalti Dini zinatawala maisha asee Serikali za dunia zinashirikiana na dini

salum1 year ago
🤝ngoja tukamsikilize

James Mp1 year ago
Hii ni ya kusikilizaa kabisaa
