正在加载视频...
视频加载失败
Kwaya za Kizanzibar 😁🤝
36,173 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

JoeKasley2 年前
Baadae itaibuka hoja ya Uzanzibari na Utanganyika, utashindwa kuijadili kwa mtazamo chanya kwa sababu hakuna clear line kati ya utani na hoja katika hoja zenye implication za kitaifa Hakuna utangamano katika masuala mahsusi, ilifaa uongelee aina ya mziki bila uhadhishaji wa eneo

🌐_Critique2 年前
Kwa kwaya hii Shetani ajipange. Atachambwa na atapigwa vidonge mpaka ajute.

Ubaya Ubwela2 年前
Hii nzur wamevaa mavazi ya Pwani ingawa vichwa wazi

ALICE ERASTO2 年前
😂😂😂

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿2 年前
😀😀😀😀

George Jerico2 年前
😂😂😂 dah kudadek

Ms Bee🌹2 年前
😆😆😆

ZEGEGA ZENGO2 年前
Ni sawa kwa sababu taarabu ni kama ngoma ya asili mwambao wa pwani

Mbeya ni nyumbani kwetu.2 年前
Imenifanya nikaitafute Vyoutube hakika nimefurahia.
