Loading video...
Video Failed to Load
Kweli nimeamini wema hawana maisha…!
68,602 views • 9 months ago •via X (Twitter)
28 Comments

Ccm hakuna aliemwema!!,.........Sugu unataka tukutukane Matako yako!!................

Hawa si ndo walewale jongwe? Angekuwa muungwana asingekubali ubunge wa damu na dhulma.

Kukubali kushirikiana na serikali iliyoua watu wake yenyewe tayari inathibitisha pasi na shaka yakuwa mtu huyu hakuwa mwema.

Hakuna mwema. Labda utakuwa umejielekeza vibaya. Mwema yuko wapi kwenye serkali hii @TheRealJongwe tunakuheshimu sana. Huu wema wawauaji unatoka wapi. Hawa watekaji,wafiraji hawa,haya makatili kabisa.Serkali hii haina uhalali haramu kutoka unyao hadi utosi

Hawezi kuwafokea watoto pendwa wa mama halafu abaki salama.

Hii Nchi ni Takataka Mtu alikuwa anajaribu kutuponya majeraha walau kinafiki Lakini wao wameona kama anawaalibia. 🚮

Tayari keshakuwa mwema? Mbona mnasahau haraka hivi? Acheni bana

Nadhani mmeona namna mwanamke hapaswi kua kiongozi mwenyezi mungu hakosei bhana

Alikuwa smart kuliko boss wake. Huyu ndie alitakiwa kuwa PM.

Huyu nae ni yule yule kama angekuwa muadilifu asingekubali kuwa Mbunge na Waziri huku akijuwa hakukuwa na Uchaguzi

Analeta mambo siriasi kweli maigizo ndo shida yake

Nadhani wema ni wale waliokataa kuingia kwenye baraza na kujihusisha na hii serekali! Huyo alikuwa anajitahidi kujiweka kwenye position!

Hafananii na Ile cabinet ya chinjachinja.

Hawa ni wakuwaangalia tu,. Bila kutia neno kwenye mambo yao

Wanaiharibu hii nchi

@HildaNewton21 Ndilo Tatizo la Remote Control. You'll always LOOK FOR A TOY to play around with. UKILIGEUZA HIVI LINAGEUKA. HALINA UBISHI. TOY. Somebody with an ATTITUDE, ni SHIDA.

Kuna mwema kwenye serikali iliyoingia kwa damu za watu?

Yaani!

@TheRealJongwe Usishawishi kuwapa huruma za kisenge home boy, kama hakuwahi kuungama kwa toba kupitia mipango yao Ovu kwa Raia waliowahi kuisuka kwenye cabinet zao za kujiweka madarakani kwa gharama yoyote hata ya Damu basi acha wavunjane, Msitupange kuwaonea huruma MATAKO YAKO.

Mama ni mjinga wa kiwango cha standard gauge asee

Hivii rais wa mbeya ulimwelewa gwajima

Kuna watu wengi CDM wanavutiwa nao ndani ya CCM ila kuwaambia wakati bado ni VIONGOZI hawawewezi . CDM wote ni CCM

•La kuvunda halina ubani. •Sikio la kufa halina dawa.

Uzuri ni kwamba malipo ni baada ya huduma

True brother

@Jonas2553 Sisim hakuna wema kuna makundi ya kila mtu mnufaika na kundi lake

Ni Tz pekee pale penye mwanga ndo huzimwa ili tuendelee kuwa gizani kaka

Hamna kubembeleza mhalifu
