Loading video...
Video Failed to Load
Lala salama My Brother Alphonce Mawazo.
71,153 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Nilikuwa nafikiri uliamua kuacha kugombea uenyekiti wa chama kanda ya kaskazini kwa sababu ulimuogopa makonda, lakini nimekuja kujua kwamba ulikuwa unataka uwe mfano kwamba kagame anaweza pia kusema hana nia ya kugombea tena ila cha ajabu kagame amegoma kuachia madaraka 🤣🤣🤣

Wajumbe wenu wanaweza wakampigia kura @freemanmbowetz kwa sababu ya mapenzi yao binafsi na factors kama rushwa za Abdul lkn Ukweli ni wananchi tunachotaka, nendeni tofauti na machaguo yetu mpoteze umahiri wenu wote. Kwa sababu "You can fool few people, but NOT everyone [84%]

Lema, hukupaswa kustaafu this time. CHAMA kinawahitaji wewe na HECHE kwa Wivu Mkubwa

Mbowe kasababisha watu wengi kufa kumbe ni mzugaji tu.

Siku hawa wakihama chama naacha siasa bila kuangalia Nyumba. 1. @freemanmbowetz 2. @godbless_lema 3. @HecheJohn 4. @jjmnyika Mimi si mwanachama wa chama chochote ila misingi ya kuanzishwa @ChademaTz ndio imekua itikadi yangu miaka yote.

- Moonlight

Revolutionary leader walikuwa ni hawa Siyo huyo jamaa anatumbia yeye si mbangaizaji ?? Wabangaizaji ndiyo tutapiga Kura kwenye general election next year 2025, hao wajumbe, vibaraka na machawa wake hiyo Saccos yenu ni..🚮🚮

Bora bro Lema umeweza Soma alama za nyakati na umeona general public unataka nn..you guys can still bring change within the party!!! MSIOGOPE🙏

Mbowe anaharibu legacy yake ya miaka 20 kwa kufanya kazi za CCM, niko kwenye whtsp group moja la CCM na wamemuunga Mbowe kwa heshima zote. This dude is sold and compromised, Lissu anabaki kuwa ndie mpinzani wa kweli.

Mbowe analinda utajiri wake.amekuwa.Mugabe wa cdm, kiongozi akizeeka hata ufahamu umtoka,wakati amebambikiziwa kesi ya ugaidi alisema,hatagombea tena. Kumbe ilikuwa ni misheni. Uchaguzi huu umetutoa tongotongo. Tusubiri hiyo januari

sikujua Mbowe ni ngese namna hii💔💔💔 anagombea hana hata manifesto, hana agenda zozote za kukabaliana na ccm ovu ya sasa, hana hata mikakati ya kupata Katiba mpya ya wananchi, kwa ujumla hana kipya tena, alitotenda past 20 yrs yatosha.
