Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

147,540 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Paul Advocate100
Paul Advocate100vor 1 Jahr

Hadi juzi j3 Congo wameukomboa mji wa Goma na kuwafurusha M23 hadi kuvuka mipaka ya Congo kuingia Rwanda, hadi kuwafanya wakaazi wa Gisenyi Rwanda kuwa wakimbizi katka nchi yao, swali langu>>>Hii video ni ya lini mkuu?

Profilbild von Itsjellyblessing𝕏
Itsjellyblessing𝕏vor 1 Jahr

Watu wa kigoma wajiandae kupokea wageni

Profilbild von Gan Jing World
Gan Jing Worldvor 1 Jahr

✦ The Fatal Encounter ✦ One year into King Jeong-jo’s reign, a fated day unfolds about one who must live, one who must kill, and one who must protect. 🍿Watch Now

Profilbild von Sungura Wa Dar🐇
Sungura Wa Dar🐇vor 1 Jahr

Kuna mtu aliimba utakufa unajiona🥲🥲🥲🥲

Profilbild von Ngoswe
Ngoswevor 1 Jahr

Unakuta mwamba pamoja na magumu yote anayo pitia anaelekeza akiba yake yote pamoja na uchache wake itumwe kwa familia yake. Nenda kwa mwanamke mwenyewe sasa unamkuta yupo anatinduliwa tu na masela wala hana wasi wasi qmmke walai 😡

Profilbild von Kylianbk_4069
Kylianbk_4069vor 1 Jahr

Kuna watu wako bize na kikoba ☹️

Profilbild von Elimisha Nyamoga
Elimisha Nyamogavor 1 Jahr

Inafikilisha sana nashidwa kujua kwanini viongoz wa Africa wameitelekeza kabisa CONGO

Profilbild von 𝔎jj
𝔎jjvor 1 Jahr

Ningekuwa mimi ningevua nguo nianze kuokota makopo kama chizi, chakufia nini🤒

Profilbild von VARIS PAPA
VARIS PAPAvor 1 Jahr

Battle field is not 🚫🚫🚭🚭 a joke

Profilbild von 𝗠𝗢𝗫🧸
𝗠𝗢𝗫🧸vor 1 Jahr

#PlayForGoma

Ähnliche Videos