Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Lc200 mamae oyaaa🙌🙌
11,773 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)
Комментарии: 17

Apo ukipata ajali tukutàne jehanam

Sahihi

Anamuwahi boss Posta

😂😂

Aisee

Akipata ajali hapo lazima kwanza apae usawa wa ndege 😂

Leo uwekezaji vipi code kaka.

Sijatia mkeka mpaka weekend hapa

Ahaa hapo sawa kaka.

one mistake kwenda lala, hata mifupa wanaweza wasikute

alafu Kuna boya mmoja anataka linganisha LC 300 na crown sijui Nini nikamwambia we endelea kuziona LC 300 kwenye town trip, siku ukikutana nayo kaikamata mwendawazimu kwenye road inayoruhusu ndio utajua Kwa Nini nchi nyingi za Africa zinatumika hizi chuma kwenye vip motorcade

Hata 200izo crown haziingii

Mchawi jam tu ila mngelikuta limepoa

😂😂sahihi

Boss yupo kwenye train yeye anamuwahi

Aseeh sio poa

Acha ku repost vitu watu wamepost
