Loading video...
Video Failed to Load
Leo Angola wametutusi sana .
43,148 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

The Angolan regime is a forcible suppression of opposition, the Angolan government through their President João Lourenço is pro-fascist... Angola and Tanzania, their politics are authoritarian. They do not believe in democracy...Nafikiri ni hivyoo

Poleni sana kwa mlioongozana na viongozi kwenye safari hii kwa yote mliyopita. Angola imetia Aibu sana kwenye hili na hatuwezi kukaa kimya kwa hiki walichokifanya. 🚮🚮🚮

Dr. Kuna shida ya Usalama. mimi nafanya kazi Angola hapo Luanda nina office, i can tell kuna shida ndio maana hawawezi kuwaambia. Angola wangekuwa wabaya ningekuambieni ila hawana shida nasisi ila kuna Internal securities issues with such delegation the Risk is even higher.

Kama unataka ongea Kiswahili fanya hivyo hata kiingereza fanya hivyo ila unachnganya lugha yawezekana ndio tatizo hilo 😁😁

#ExtraCancha ¿CÓMO NO LO HABÍA PENSADO ANTES? 😅 León Larregui encontró una peculiar solución para contrarrestar las medidas de Donald Trump. 🤭¿Será lo que México necesita? 👀 Entérate de su controversial propuesta. #LeónLarregui #Zoé #Trump

Kwani huwezi kuongea kiswahili mwanzo mwisho au ndio kuonekana umesoma mbona wazungu hawachangannyi huu ni ulimbukeni

@RahmaMwita Shida nn

Jawabu liko wazi kwasababu nyie sio wazamiaji wala sio magaidi mlienda huko Kama wengine kwenye mkutano ambao ni official na mlikuwa na mualiko tatizo ni nchi yetu tz 🇹🇿 wala Msiwalaumu Angola ijapo hata wao hawakupaswa kufanya hivi hii siasa ya 🇹🇿 imekosa sense of direction

Jama za ccm hizo baba miezi hii kila unafiki utajitokeza mwisho wake itasimama haki tu lazima haki itasimama kwa uwezo wa allah km si leo kesho

Poleni sana!

@SuluhuSamia we have issues with Angola?
