Loading video...
Video Failed to Load
Leo Bawacha mambo yalikuwa 🔥
10,469 views • 2 years ago •via X (Twitter)
7 Comments

Ntele B H2 years ago
Dodoma imefurika sana hamna pa kukanyaga

Hilda Newton2 years ago
Haswaa

Tonny2 years ago
Uji unachemka, Bado kusonga Ugali tu. Unga wa Kutosha Upo.

𝙎𝙚𝙧𝙫𝙖𝙣𝙩 𝙆𝙤𝙢𝙗𝙤2 years ago
@EnoldKassedy Wanawake hawa wapongezwe, imagine hapo hakuna msanii maana wote wameamua kuwa machawa wa kule

Ntele2 years ago
Hongereni sana. Mmeupiga mwingi sana leo

Hilda Newton2 years ago
Asante sana

Daniel Arap Ruto2 years ago
Bawacha ni jeshi kubwa.
