Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Let's assume ni wa kishua, otherwise...
40,015 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Oyaaaa 😂😂😂😂😂 Mimi nilidhania Hii ni HARUSI... AU SEND OFF 😂😂😂😂😂😂😂 Ila wanafunzi wa UDIZIM 😂😂😂😂🙌🙌 Hapo unadhani katumia Shingapi?😂😂😂 Video kwa Comments👇

weteva iko ila video ni nzuri sana

Mume anayekuja kumuoa kazi anayo 😂🙌🏻

yule mwenye kaugi jeusi hajaoneshwa sana,sinapenda😂😂

bwembwe zote kumbe kasomea mofimu😂🙆🏽♂️

Imagine na kujiremba kote na makeup bado sura haishawishi,sasa huyu ukiamka asubui bila makeup si utaiona ni gorilla umelala nayo bila kujua

GPA za 2.2 hao wanakuwaga na mbwembwe sana aisee

Hawa wadizaini hii wanafanya mpaka sherehe kumaliza period

Ukiwa huna hela utaona matumiz ya watu wengine ni kama wanaharib hela kwaiyo tuliza mshono

Kuna mtu kawezesha

Ila wenye gpa kali hawajitangazi saanaa😅😅😂
