Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

161,364 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Nembo
Nembovor 1 Jahr

Kwa nini masilipie ads, Hii meseji ikawepo Twitter, Instagram na Facebook Kwa kusambaa Kwa wingi zaidi. Lipieni matangazo yake na views za kutosha mbona CCM wanafanya sana kupusha agenda zao?

Profilbild von Mkinga Freddie Mlowe PHD
Mkinga Freddie Mlowe PHDvor 1 Jahr

Amazing song it's so sensentional🎉🎉 Hongera sana MH LEMA Watanzania tuu support wimbo huu ufikie wengi zaidi 💪💪💪

Profilbild von Assist
Assistvor 2 Jahren

Need someone to manage your social media pages and content? 👍 Send us a message! 💬

Profilbild von Mkuu Wa Shule
Mkuu Wa Shulevor 1 Jahr

Kweli Lema kazi hii unaifanya kutoka ndani ya moyo wako. Binafsi nishachangia mara 2 hiyo tone na rist natunza pia wiki hii lzm nichangie tena

Profilbild von Donald Maziku
Donald Mazikuvor 1 Jahr

Good work. Pia waimbaji wa nyimbo za dini waimbe juu ya haki na uovu wa uchaguzi feki katika nchi

Profilbild von Kinaa
Kinaavor 1 Jahr

Lema 🙌🔥

Profilbild von Angas Oketch
Angas Oketchvor 1 Jahr

Big brain✌🏾

Profilbild von Michael Mwageni
Michael Mwagenivor 1 Jahr

Hit song 2025

Profilbild von YOUNG GENERATION TANZANIA 🇹🇿
YOUNG GENERATION TANZANIA 🇹🇿vor 1 Jahr

Umetisha sana Kamanda, What an IDEA!!!!

Profilbild von SPOTTED HYENAS🦊
SPOTTED HYENAS🦊vor 1 Jahr

Ukisikiliza kwa makini kuna vimachozi vinakujia kwa mbali, na huku moyo ukiwa umejaa gadhabu sana. Naikumbuka sarafina, ccm ni laana, wameshindwa kila kitu. Nchi imekosa future tupo tupo tu, kilichobaki ni kujineemesha wao na kuchota pesa zetu hovyo. Sema nini balidi ipo siku.

Profilbild von BABA IAN
BABA IANvor 1 Jahr

Hatari sana hongera kamanda

Ähnliche Videos