Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Ligi ya Jiesiemu 🤣
54,439 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Si mnaongoz ligi wazee na hakuna timu ya kuwafunga hapa bongo bac waachen wengine wanunue tu mechi iyo nafas ya 2 wasije wakaikosa 😂😂😂

love the elements in this song

Kila mtu aliona mlipewa penati ya uongo ambayo ndo iliwapa ushindi Sasa ulitegemea kocha ambaye timu yake imeonewa awapongeze nyie na refa wenu 😂😂 Mbona ni common sense tu?

Hii milio haisikiki vizuri

Huyu hafai hata bure ni Mzee wa mipango tuu na siku zote anajua kuikazia Simba kuliko uto

Vilio vimeanza,

Mnaosema ileo penalty saw hatukatia na goli la Dube ofsd saw basi tumeshinda mbili bila semeni lingine tena

Kawaeka pembeni wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza! Kamuweka golikipa namba mbili ambae msimu mzima kacheza mechi moja 😁 tu!

Huyu ni lisenge mbwa hili 🚮

Milio imeanza nilijua tu

Sasa mnataka na wao watafute takukuru
Похожие видео
Sensitive content
Simu ya INJINIA anayo MANARA.😂🫵🏾 Bodi ya ligi wanavuta Nyuzi anazipokea BUGATI🫵🏾😂
SIR TIVA
77,508 просмотров • 1 год назад
