正在加载视频...

视频加载失败

Lile swali ni hili hapa

56,261 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Daktari Wa Manesi 💉💊 的头像
Daktari Wa Manesi 💉💊1 年前

Jamaa baada ya kuuliza hilo Swali alianza kupitia magumu sana

CHADEMA KANDA YA X 的头像
CHADEMA KANDA YA X1 年前

Pamoja na ukorofi wake Magufuli alikua na content kichwani! Alijua kujibu maswali kutetea maamuzi yake! Huyu wa sasa mkimuuliza swali kama hili anaparalyze kwa kufikiria namna yakulijibu!

sosa 的头像
sosa1 年前

Hili swali lilikua la moto sana, hata ww ungekua mkuu ungemtafuta pembeni mtete ilikuaje ukaniuliza swali zito namna ile mbele za watu

do or die 的头像
do or die1 年前

🤣🤣🤣 ila uhuru ukizidi watu wanajisahau aseee

Sensibo 的头像
Sensibo1 年前

📷 A tough day in the jungle—how does this sloth overcome it? The twist you didn’t see coming

Jalula 的头像
Jalula1 年前

Aaah hapana huwezi kuzungumza na mh raisi kwa sauti ila hapana jamaa jasiri sana😎

EMMANUL VICTORY 的头像
EMMANUL VICTORY1 年前

Amejibi kwa upana sana maana yake rais ana mamlaka ayo yote lakini akiwa anajali maslay ya taifa .ona saiv borkinafaso wanatumia iyoiyo njia na wamefika mbali lakini sisi ndo tunarudi nyuma day by d

President of the Republic of X 的头像
President of the Republic of X1 年前

Jamaa aliuliza Swali nikamuona mchokozi nitumie namba yake nimuombe msamahaa , Mungu ananiona anisamehe, aliwaza mbele ya muda 🙌

Watoto mapacha 的头像
Watoto mapacha1 年前

Hivi hili swali likiulizwa sasa jibu lake litakuwa gani? Mzalendo wa nchi

anjeluus mathey 的头像
anjeluus mathey1 年前

Yaani Swali Zito kwa Rais Alafu Rais mwenyewe ni JPM? Nadhani Bwana Mayala alijibuwa kwa Akili sana,Yaani Kama haufikirii unaweza dhania Rais kakwepa swali Lakini Kumbe Alimjibu Vizuri tu. RAIS NDIO MWENYE MAMLAKA YA HAYO MAMLAKA Hilo ndio lilikuwa jibu😂

Salum A.K 的头像
Salum A.K1 年前

Swalii lilomfanya mwamba aonje moto wa gesii

相关视频