Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Lindo mashakani
32,763 Aufrufe • vor 2 Monaten •via X (Twitter)
21 Kommentare

Kumbe ndo mana ya disko kaingia Masai

Wangekuchua Hilo Sime Kwanza Anaweza Akapandisha Moli

😁😁😁🙌

Hatimaye manjeree wamefikiwa.....🤣🤣🤣🤣🤣 Huyu akirudi kwao lazima wa mtairi upyaaaaaaa....!!

Ninachoamini ni kwamba hajaingia na Sime na Rungu tu.

🤣🤣🤣

Mmeanza kuwaharibu wamasai ndo anachezaje sasa, huyu muda si mrefu atakuwa shoga nakwambia, ndo maana wameanza wizi kumbe wanashinda kwenye club

😁😁😁😁😁

Apo kami ipo

Ila pombe ? 😅😅😁 inaweza kumpa mtu ujasiri wa ajabu sana

Naapo ukute kapewa shot moja tu

😅😅😅😅😅🙌

Samak samaki hii

Haya ni madhara yakutoroka machungani

Sio kila anaevaa rubega na kubeba sime ni mmasai master

😃😃😃😃😃😃😃

Wanakatwa sana siku hizi Znz, hadi kinyaa

Ila hawa jamaa kuna wengine ni Vimeo...

😂😂😂

Sisi kama wamasai hatuna haki ya kula gambe??

Haaaa mitungi hiyo
Ähnliche Videos
que lindo el amor, que lindo ser de Peñarol, que lindo todo
manu del cap
23,374 Aufrufe • vor 2 Jahren
