
Fortunatus Buyobe
@fbuyobe • 144,105 subscribers
Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
Shorts
Videos

Baba Levo ni Mambaz 24 wa bei ya jioni Noeli kakosa kauli
Fortunatus Buyobe107,207 Aufrufe • vor 13 Tagen

Kwa mara ya kwanza wimbo wa dhahabu umeimbwa na waimbaji wake wote watatu kwenye live performance
Fortunatus Buyobe38,156 Aufrufe • vor 13 Tagen

Napenda sana lafudhi ya Achukucha ingawa kwenye kila speech yake hamsahau Filauni
Fortunatus Buyobe28,798 Aufrufe • vor 14 Tagen
0:28
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

F1 is the footage that surfaced this weekend on social media portraying a headless corpse of a male human being. The voice from the footage alleges the corpse to be found in Tabata area, the suburb of Dar Es Salaam Today I have received credible information that the deceased has been positively identified by his family members as JAMES TEMBA, a second year student at the Institute of Finance Management I’m closely following up the scene to understand the motive of his supposedly culprits
Fortunatus Buyobe98,962 Aufrufe • vor 2 Monaten

1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba. Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha. Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua. 2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani
Fortunatus Buyobe482,128 Aufrufe • vor 1 Jahr

Video hii imesambaa sana mtandaoni. Ndani ya video hii watu wamemshangaa SAID LUGUMI akiliita "Uchafu" moja ya gari linalogharimu mamia ya mamilioni ya fedha. Watu wanaweza wakawa wanajiuliza hivi huyu jamaa ana pesa kiasi gani hadi kufanya kufuru hii? Uzi👇
Fortunatus Buyobe431,528 Aufrufe • vor 1 Jahr

Huyu ni Simai Mohamed Said Mbuge wa Jimbo la Tunguun (Zanzibar) Wasilisho la mbunge huyu leo hii akichangia bajeti ya wizara ya fedha, limebainisha dhahiri ndani ya serikali kuna msigano mkubwa. Mbunge huyu alitoka kabisa nje ya mada kuchangia hoja iliyokuwepo mezani na kuanza kumshambulia mtu anayedai yupo ndani ya serikali kwa kumuita Yuda Kwa mujibu wa video hii, Mbuge huyu anamtaja Yuda kwa sifa zifuatazo 1. Anatumia vibaya nafasi ya kuaminika na rais kumsaliti 2. Mtu huyo amefitini watu ambao walikuwa wanakaa siti za mbele bungeni (mawaziri) na sasa wako backbench. Amefitini sana wafanyabiashara na kupotezea wengi ndoto zao za kisiasa. 3. Mtu huyo amekuwa akilitumia kanisa kuifitini serikali Hadi hapa nilikuwa nimetatizika sana kumjua mtu wenye wasifu hapo juu. Lakini mbunge huyu akanirahisishia kazi alipoongeza kuwa 4. Yuda anajidai alikuwa anapendwa na hayati Magufuli wakati enzi za utawala wake alimtupa mbali huko nje ya nchi. Hili halikuwa tena fumbo kwangu. Ni hivi karibuni, katika msiba wa mama mzazi wa hayati rais Magufuli, John Nchimbi, Makamu wa rais, amenukuliwa akielezea jinsi alivyokuwa karibu na hayati Magufuli wakiitana watani. Jinsi alivyokuwa akichukua pipi za Magufuli kwa kuwa hakuwa akila pipi, jinsi alivyotaka kumteua ubunge kupitia nafasi 10 anazopewa rais, na hadi jinsi alivyomteua balozi japo alishamwambia nia yake ya kutaka kupumzika. Nchimbi katika kutaka kuthibitisha hili, akaomba wasaidizi wake wamletee simu yenye ujumbe aliotumiwa na Magufuli ambao ameutunza mpaka leo na aliuonyesha kwa familia yake yote. Kwa hiyo, mbunge huyu Mzanzibari ameshaanza kutupa code kuwa kuna kutoaminiana ndani ya viongozi wa juu wa serikali. Nachelea kusema mbunge huyu hakuingea haya kwa bahati mbaya bali imetokana na vikao vilivyofanyika sehemu na kuaminishana haya aliyoyaongea leo, na ametumwa kuyawasilisha. Ujumbe mwingine unatumwa hapa ni vita dhidi ya kanisa ambalo halijatajwa. Kama alimaanisha kanisa la Nchimbi, basi kuna vita visivyo vya wazi kati ya watu fulani ndani ya serikali na Kanisa Katoliki. End of evening rant
Fortunatus Buyobe47,115 Aufrufe • vor 1 Monat

Karibu na Heche namuona mzee wa “CCM itaondoka kama alivyoondoka Firauni” Achukucha Achukucha…
Fortunatus Buyobe28,062 Aufrufe • vor 1 Monat

Mbona hili begi halikufunguliwa? Lina kazi gani ndani ya ukumbi wa kupiga kura?
Fortunatus Buyobe162,746 Aufrufe • vor 1 Jahr

Mwaka 2016, Video hii ilisambaa mitandaoni ikimuonesha huyu mzee akifanya matumizi ya kufuru kwenye mojawapo ya Supermarket jijini Dar-Es-Salaam Ananukuliwa akimuambia muhudumu achanje kadi yake mpaka ichanganyikiwe kulipia bill. Haya yalifanyika enzi za "Vyuma Vimekaza"
Fortunatus Buyobe189,067 Aufrufe • vor 1 Jahr

Rais wangu Samia Suluhu , naamini ukiangalia video hii utapata mengi ya kujifunza.
Fortunatus Buyobe129,296 Aufrufe • vor 1 Jahr

I said it before kuwa tutaambiwa Padre kakimbia madeni
Fortunatus Buyobe65,815 Aufrufe • vor 9 Monaten