Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

95,281 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

34 Kommentare

Profilbild von Latino mafia
Latino mafiavor 1 Jahr

Huyu shida yake alikalili kingereza ila hakuelewa chochote shuleni. Ameshindwa ata kusoma terms and conditions kabla ya kusaini mkataba🚮

Profilbild von Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊vor 1 Jahr

Huyu Dada Si ndio alisema mahari yake million 500?

Profilbild von Jo.codes /
Jo.codes /vor 1 Jahr

Huyu atakuwa aliangushwa alivyokuwa mdogo.

Profilbild von Eng. James Munisi
Eng. James Munisivor 1 Jahr

💨 Umeme mdogo kichwani

Profilbild von Zulu Natal
Zulu Natalvor 1 Jahr

Wakati wenzie wanasoma yeye alikuwa anakata viuno saa hii anakuja kusumbua watu. Hajui bima zinavyofanya kazi.

Profilbild von BOB
BOBvor 1 Jahr

Tujue Elimu yake kwanza ni level gani? 🤣🤣🤣Expiry anataka ku extend kwa huruma mbona kwenye magari unaweza kata miaka 10 na usipopata ajali kila mwaka ina expire

Profilbild von Zingibermc
Zingibermcvor 1 Jahr

Hivi huyu anaelewa maana ya Bima kweli? Aaaiseeee shule Ina umuhimu sana hata kama utaipuuza.

Profilbild von 254_tycoon
254_tycoonvor 1 Jahr

Sasa hiyo 3.5m siakaitunze ndani kwake isitumike. Alf hiyo mwanachama mpya imetokea wap?😅kwahiy watu wanafny ujinga kwa kivuli cha sisiemuu.

Profilbild von Evance lastborn
Evance lastbornvor 1 Jahr

Kuto lipa kbs n uongo hapo tulilie No-Claims Bonus (NCB) au No-Claims Discount (NCD) kwa nchi zilizo endelea mtu kama atalipa bima na hana claim yyte ndan ya mwaka bas upewa discount ya 50%~40% Pindi anapo kwenda Renew bima yake nadhan hiki ndio kitu tunaeza lilia na sisi.!

Profilbild von BM
BMvor 1 Jahr

Combo ya Ujinga na confidence ni hatari sana Aende huko court aone how Defamation cases are handled

Profilbild von Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒vor 1 Jahr

The Rise of Cowards.

Profilbild von Mayolwa
Mayolwavor 1 Jahr

Analaumu Jubilee badala ya sheria zinazotoa mwanya kwa Jubilee. Anazungumza mambo ya NHIF, anajua kuwa hata wao wanafanya kazi chini ya sheria zilezile kama Jubilee? Anyway, CCM mbele kwa mbele.

Profilbild von Unseen Adviza
Unseen Advizavor 1 Jahr

Kingereza kiiingi shule sifuri. Amekaa kitapeli ka msure wake😂😂

Profilbild von Fumbo Khan
Fumbo Khanvor 1 Jahr

Mpaka sasa bado anafanya Kazi Kwenye Media Kubwa, kazi watu wanapewa kwa Kujuana Sio Akili timamu

Profilbild von Sam
Samvor 1 Jahr

Mtu anaetumia milion 20 Kwa mwezi Kwa shopping analalamika kukatwa milion 3 ya bima ya afya anayolipia Kwa mwaka. Nchi Ina vituko sana hii

Profilbild von Baba'ke
Baba'kevor 1 Jahr

Umaarufu ni nusu uchizi kwa nchi zetu hizi,hakusoma terms&conditions?

Profilbild von єℓιтє σℓιgαя¢ну 🪽
єℓιтє σℓιgαя¢ну 🪽vor 1 Jahr

Nasikiliza huku nimeziba mdomo na masikio kwa aibu...i wish i could un hear what she just said...kwel english fluency aint sign of inteligence...acturial science hana...ogopa sana mjinga akiwa na confidence.....imagine she is public figure and she is so damn stupid

Profilbild von Muzina di Tata
Muzina di Tatavor 1 Jahr

Hakusoma terms and conditions za mkataba kabla ya kusaini? 😂😂

Profilbild von Ma'odo
Ma'odovor 1 Jahr

kwamba wao wafanye kazi ya kukutunzia pesa? una shida wewe sio bure.

Profilbild von It all started in 1948🇹🇿🇵🇸
It all started in 1948🇹🇿🇵🇸vor 1 Jahr

Kwani alisaini bila kusoma? Hajui bima Ina ukomo wake?

Profilbild von Roggie
Roggievor 1 Jahr

Hapa wamfungulie na kesi ya defamation huyu. Kwani ukikata Bima ya gari na hujaoata ajali au janga mbona huwa uendi kuidai hiyo hela?? Ukilipa Kodi ya nyumba na ukasafiri hujakaa kwenye hiyo nyumbe huwa unaenda kudai hela yako?

Profilbild von S. Maganga
S. Magangavor 1 Jahr

😂😂😂 huyu ana hajui ambacho hajui. Kama anapenda sana pesa yake aweke kwenye account yake ya bank siku akiumwa anatoa kutumia. Insurance companies are doing business everywhere in the world.

Profilbild von Zirconium 🦷 💉💊️.
Zirconium 🦷 💉💊️.vor 1 Jahr

Elimu Ni Kitu Cha Mhimu Sana

Profilbild von Jefe.. ♐️
Jefe.. ♐️vor 1 Jahr

Low battery 🪫 kichwani

Profilbild von Mafioso
Mafiosovor 1 Jahr

Hii kichwa

Profilbild von Paschal Karokola
Paschal Karokolavor 1 Jahr

Kwamba daktr anashangaa kuhusu ku expire bima au sio😂 Huyi aliaccept term and conditions bila kusoma Afu ajielimishe,akishindwa aite mtaalam wa bima kwenye kipind chake amsaidie Bima anayolipia gar alisharudishiwa ama analipiwa ama hana gari

Profilbild von The hustler
The hustlervor 1 Jahr

Wkt anaweka signature hakusoma hyo sheria?Gari kila mwaka tunalipa third part insurance na haijawahi tusaidia chochote na wenye magari waanze kudai basi AU kwasababu n mtoto wa nyumba kubwa basi ana haki ya kudai chochote 😀

Profilbild von J.4
J.4vor 1 Jahr

Viingereza na F ya Maths😆😆

Profilbild von Legion
Legionvor 1 Jahr

Huyu dada ni mjinga kuliko ujinga wenyewe....... typical Lumumba 🚮

Profilbild von sharjah
sharjahvor 1 Jahr

Katika uislamu bima ya afya ni haramu ni sawa na kicheza kamari pata potea

Profilbild von Just Watches and Accesories
Just Watches and Accesoriesvor 1 Jahr

Haki ya MUNGU wakati Lowassa anasema Elimu Elimu Elimu hatukumzingatia, haya ndio matokeo yake!!

Profilbild von Midoooo
Midoooovor 1 Jahr

Kumaliza MB kusikiliza vichaa

Profilbild von Watoto wa Mama ntilie ⚡🇻🇪
Watoto wa Mama ntilie ⚡🇻🇪vor 1 Jahr

Kujua kingereza si kujua kila kitu

Profilbild von El Chapo🇹🇿
El Chapo🇹🇿vor 1 Jahr

Sasa hapo what @ccm_tanzania gotta do with it??

Ähnliche Videos