Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mafinga happening now!
14,736 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Mifumo uliyoipigia kelele bado Iko vilevile ujitahidi kuwaambia kwa sababu uko nao karibu.

will we ever land on Mars?

Sema bro pamoja na mambo yote ulitanguliza tumbo mbele kuliko maslahi ya Taifa hebu niambie ile Ccm uliyokuwa unaipiga spana kuwa ni wala rushwa na maadui wa demokrasia eti Leo upo huko. AMA KWELI NJAA NI ADUI WA MSIMAMO!

Tupo kwenye nyakati ambazo watu wanajivunia Yale ambayo walipaswa kuona aibu.

Tunakupenda msigwa Kasoro zako ni chache kuliko mazuri🥹 CCM tunakuhitahi sana tu

Utaimiss sana chadema msigwa japo huwez kusema ila najua Moyo unauma coz ndicho chama pekee kilicho kutoa gizani

Sasa hapo kuna kitu gani kipya sasa Malori yamefanya kazi usiku kucha ni kama Maswa Simiyu leo yupo mzee wa kusinzia watu wanasombwa hadi na Tipa mchanga!! 😂😂

Kutoka kuwasemea watu mpaka kulitetea tumbo nayo ni evolution kubwa sana.

Ww na Gwajima mmesababisha niwaone wachungaji nao ni madalali

Hii kitu chadema wakiona watasema wamesombwa na mabus😂😂

Chama cha wezi, chama chakavu, chama cha machawa, watu waliojizima data ili mradi yao yaende.
Похожие видео
Tumchukue maelezo kidogo mwaisa wa JKT mafinga Ya Mbeya
mwaisa_mtumbad
36,489 просмотров • 1 год назад
