正在加载视频...
视频加载失败
Magufuli🗣️; Good morning Afrika.
75,818 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Sifa kubwa ya kiongozi ni kuwa na sauti ya mamlaka. Magufuli alikuwa na kipawa cha Uongozi

Sauti ya Mamlaka.. enzi za uhai wake, wale wavivu na mafisadi walikuwa hawatamani ziara za huyu mzee apite kwenye maeneo yao ya kazi maana alikuwa amenyooka mno, ukipindisha unaonekana tena hadharani.. Viongozi wa namna hii hawapendwi na tabaka la juu bali tabaka la chini..

Kitu kikubwa alichoweza kufanya mbaka inaonekana aliweza kutawala ni KUWAFANYA WATUMISHI WAWE KWENYE PERSONAL RISK YA VYEO NA MALI ZAO. Na hivi ndio inavyo takiwa, uki_fail kuwafanya watumishi kuwa kwenye RISK watakuangusha.

I expected much repost🤔sauti ya mamlaka isiyosahaulika✍🏾

Jamaa atakumbukwa sana huyu .

Lakini mambo ya kutekana na Kuumizana kipindi chake yalishamiri sana.

Akitoka hapo anaagiza akina ben sanane wauliwe 😂😂🚮

Hakika huyu mtu alikua ni Zaidi ya Kiongozi

Yaan ilikuwa hacheki na wowote mpaka mjumbe unakacha

Naam IN MEMORIES 🫡
