Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

MAJIZO PUNGUZA SHOBO.

24,445 görüntüleme • 7 ay önce •via X (Twitter)

0 Yorum

Yorum bulunmuyor

Orijinal gönderinin yorumları burada görünecek

Benzer Videolar

#NasahaZaOdoUmmy #AfyaNiUtajiri - Yatupasa kila mmoja wetu katika kupigania maisha yetu ya kila siku tuweke kipaumbele cha juu katika kulinda Afya zetu kwani AFYA NI MTAJI; AFYA NI UTAJIRI. Pigania utajiri wa Afya then ndio upiganie utajiri wa mali. Hivi sasa, nchi yetu inakabiliwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu wenye MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA (MYA) kwa kizungu "Non Communicable Diseases (NCDs)". Magonjwa haya sasa yameongezeka kwa mara 5 hadi 9 zaidi kati ya miaka ya 80 na sasa. Miaka ya 80 ni asilimia moja (1%) tu ya Watanzania walikua na tatizo la Kisukari na asilimia 5 (5%) tu ndio walikua na tatizo la Shinikizo la Juu la Damu. Hivi sasa watu wenye kisukari nchini ni asilimia 9 (9%) na Shinikizo la Damu ni asilimia 25 (25%)! Magonjwa haya yanatumia gharama kubwa kuyatibu sambamba pia na kusababisha ulemavu wa kudumu na vifo. Katika kila vifo 3 nchini, kifo kimoja kinasababishwa na magonjwa yasiyo ya kuambikiza. Magonjwa haya ni pamoja na:- 1. Shinikizo la Juu la Damu 2. Kisukari Shinikizo la juu la Damu na Kisukari ndio kwa zaidi ya asilimia 70 husababisha mtu kupata magonjwa mengine yasiyoambukiza ambayo ni;- 3. Ugonjwa wa Moyo 4. Ugonjwa sugu ya figo (chronic kidney disease) na 5. Kiharusi (stroke) Magonjwa mengine yasiyoambukiza ni;- 6. Saratani 7. Sikoseli 8. Magonjwa ya Afya ya akili Unaweza kuzuia kupata magonjwa yasiyoambukiza. Vilevile endapo umeshapata magonjwa haya unaweza kuyadhibiti na kuishi maisha bora. Mambo makubwa ya kuzingatia ili Kuzuia na Kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza ni pamoja na;- 1. Kuzingatia ulaji wa vyakula unaofaa ikiwemo kula mbogamboga na matunda kwa wingi; kupunguza matumizi ya sukari, chumvi na mafuta mengi. 2. Kufanya mazoezi ya mwili au kuushughulisha mwili angalau mara 3 kwa wiki kwa muda usiopungua dakika 30. Hata hivyo wataalam wanashauri ili kupata matokeo mazuri zaidi muda ya mazoezi uwe angalau dakika 150 kwa wiki yaani dakika 30 mara 5 kwa wiki; au dakika 40 mara 4 kwa wiki au dakika 50 mara 3 kwa wiki. 3. Punguza unywaji wa Pombe kupita kiasi. Mwisho, nisisitize wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara hasa kupima Shinikizo la Damu, Sukari pamoja na Uzito. Aidha ninawahimiza wananchi kupima saratani ikiwemo saratani ya matiti, saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya tezi dume. Ugonjwa ukigundulika mapema ni rahisi kuutibu. #MtuNiAfya #JuaNambaZako #KingaNiBorakulikoTiba #NasahaZaOdoUmmy

Ummy Mwalimu

13,311 görüntüleme • 2 yıl önce

MWISHO WA USALITI NI KIFO… NI SUALA LA MUDA TU Kwenye Movie ya SARAFINA, kulikuwa na Police mmoja mweusi (SABELA) ambae alikuwa anashirikiana na Makaburu kuwanyanyasa Wanafunzi. Isitoshe ndio alichonga mchongo hadi Mwalimu wa Sarafina, MISS MASEMBUCO anakakamatwa na kuuliwa na Polisi. Walivyokuja kumgundua, wakamuibukia usiku wakazingira nyumba yake kumwambia atoke, alivyogoma wakaiwasha moto! Alivyotaka toroka wakamzingira akala kipigo na mwisho wakamchoma moto. scene ya mwisho baada ya kipigo alivyoinua macho akamuona Sarafina ambae pengine angeweza kuwaambia machizi wasimuue ila alijua kabisa hawezi pata msamaha maana amesababisha Mwalimu wake kauwawa. Usaliti ni kitu kibaya sana, na Wewe unavyokuwa unasaliti unaona uko sawa sababu una enjoy benefits unazopewa na WATESI wa Wananchi, unajiona SAFE! But When THE TABLES TURN, like they always do, inakuwaga too late. Bora upige kimya tu kama wewe ni Benefactor, badala ya kukejeli Wanaharakati, kuwatusi au kusambaza Propaganda ili uwafurahishe ma boss wenu. KUMBUKA, SARAFINA SIO MOVIE, NI TRUE STORY, wakati wa kipindi cha Ubaguzi wa Rangi (APARTHEID) in South Africa, ambapo Wanafunzi 176 waliuwawa kwa silaha za Moto huko SOWETO mwaka 1976. Tanzania nawaona WASALITI na MACHAWA, na WACHUMIA TUMBO (Waandishi uchwara) wakileta shobo and poking their heads out thinking shit is sweet. IT IS NOT UNTIL JUSTICE IS SERVED, The Leader P.S I dont own rights to the clip (Sarafina 1992). It is used for educational purposes only

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

33,211 görüntüleme • 7 ay önce

Vision + Deliverance = CM PUNJAB✅
0:22

Sensitive content

Vision + Deliverance = CM PUNJAB✅

PMLN

25,642 görüntüleme • 2 yıl önce