正在加载视频...
视频加载失败
Makomborero hobho, hobho ❤️❤️❤️
29,394 次观看 • 7 个月前 •via X (Twitter)
57 条评论

Mungu Akulinda Dada maCCM yanakuwinda sana ila yataanguka yote

Amina, Mungu atashughulika nao.🙏

@JumaAbdukarim LFG🔥🔥🔥🔥

@JumaAbdukarim 🫶

@JumaAbdukarim Uamuzi wa mahakama wa ghafla hivi nimekuwa na waswas nao sana. Siuamini labda kuna kitu kibaya wanakipanga sijui ila siuamini kwa asilimia zote. Kama ni uamuzi huru Tumshukuru Mungu, kama ni maelekezo basi mipango yao mibaya isifanikiwe.

ninachokiona hapa napata mashaka makubwa sana. Kuna akili flani ya kitoto sana inafanywa hapa na dola. Naona kabisa kwamba Kesi hii imeamuliwa hivi ili tu wauaji wajinasibishe kwamba mahakama zinatenda haki ili watakapomuhukumu @TunduALissu kwa uhaini waseme ni haki imetendeka

@TunduALissu Kwa hawa madhalimu yote yanawezekana

@TunduALissu Kusema kweli, ukiwa unafatilia kwa ukaribu sana michezo na Matendo ya haya majamaa, kuna vitu unaweza ukaviwekea alama ya kuuliza, na kukaa tu usubirie kifwatacho. Ika naamini hata kama watafanya hivyo. HAKI ITASHINDA TU.

@UchafuziM Dada Hilda wewe ni fight wakutosha, hongera

@UchafuziM Asante

@Gibson44178359 Siku ya furaha ni leo na wakat ni sasa!😍😍💪

@Gibson44178359 👌

Kuna watu wanateseka!

Na bado watapata tabu sana.

Kwenye hii video nlisubiria kwa ham sana ugeuke😂 kumbe sio akili tu ata kashepu kapo, 💕

mwaga moto kama dragon 🐉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

🔥🔥🔥

🔥🔥🔥🔥

🔥🔥🔥

@msudan2_papaa Mapambano yanaendelea kamanda

@msudan2_papaa 💪

Umedamshi kwel kwel, dada wa shoka ✌️✌️

Asante.

@bizy94 Dada kama dada. Umenoga haswaaa❤️❤️

@bizy94 Thank you.

Hasta la victoria siempre!😍

Exactamente.🙏🫶

Ubarikiwe sana sisy

Amina

We mdada nimzuri

🙏

Ugeuke basi

Woooozaaaah kumbe wewe ni kisu namna hii

Muhaini💕💕💕

😂😂😂

Umetisha sana tukutane studio

@JohnNgutiCDM Watu mkiwa CHADEMA mnapendeza sana.

@JohnNgutiCDM Ukiwa upande wa Haki moyo unakua na amani

Aaah safi safi kabisaa😁🔥🔥🔥

🤝

@Ikupa19 Woyooooooooo🫡🫡🫡🫡🫡🫡

Ahsante Hilda

🙏

Wewe huyo

🏃♀️🏃♀️🏃♀️

🔥🔥🔥

Kumbe unajua kuyasakata ma mango Sister.

Nitaongea jambo na makamu @HecheJohn nipate ridhaa na baraka za chama🤔🤔🤔

🔥

Dada angu mimi

Mdogo angu.🫶

❤️

@HildaNewton21 kwenye ubora wake hawatakuweza hata wafanyeje hao wauaji wakubwa 🚮🚮🚮🚮

Mungu yupo upande wetu

Kabisa Mungu hawezi kuwatupa waja wake🙏🏾

Kumbe umo!

Tukiwe uchama pemben vitu vipo Hilda mashallah ooh

