Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
*MAMA HANA BAYA*
59,597 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

Vijana wa hovyo, Lindi ni kamkoa kenye watu maskini sana

Zile manyani zilizoimbwa kwenye ule wimbo wa yule dada ndo hiziapa sasa

Waliandaa had matishet dah

Njaa na unafiki ni vitu vibaya sana. Ndio maana bodaboda wote wanaonekana takataka

Kampeni zilishaanza kitambo ni sisi tu hatujaelewa 😂😂😂. Afu wanataka kushindana na #chadema operation +255. Ila hawatawez watasota sana.

Usipojitambua inakughalimu mno. Hata ukawa na shule lakini usijitambue nn unafanya kwa manufaa gani hilo ni tatzo. Ndo mana kauli zao ni katiba ni kijitabu vijana wanashangilia! Bandari inakusaidia nn piga kazi vijana shangilia ! Kushabikia siasa ni ushamba vijana shangilia

Kazi kweli kweli

Badala Waseme mafuta ya mepanda wanasema akifa haozi

Mavazi,mabango,na kila kitu kimeandaliwa dar,wamevishwa kumlaghai rais,haisadii kuondoa ugumu wa maisha🤔
Benzer Videolar
Tuna baya...! Allah Ya kyautata makwancin malam.
Salim Ja’afar Mahmoud
17,891 görüntüleme • 1 yıl önce
