Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Mama PolePole!
69,121 просмотров • 11 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 33

Walio mteka dada ya polepole wanajulikana aliwataja mwenyewe

@TitoMagoti 💔

Mama anamuomba mmama mwenzie mwenye mamlaka walau ampe mwanae hata akiwa maiti.!! Sad 😔

Kisa uroho, urafi wa madaraka, kila siku wanachukua roho za watu, m wanamwaga damu za watu, wanacha vilio kwa watu, haya machozi hayatapotea bure.

Huu usenge huu wa kutekana,,ipo siku tu hawa polisi yatawakuta nao ,nao watazika watu kadhaa,,hamna hata aibu? Utu Upo wapi? Endeleni tu hawa polisi,,

Pole sana Mama! Mungu awe pamoja na Polepole popote alipo!

Ujumbe umfikie huyo vampire wa kijani na wafuasi wake..

@kabsjourno hii imenikumbusha mama yako kipindi ukiwa ndani.

Kuna mburukenge somewhere utasikia kazi na UTU...Utu my black foot

Wamama ndo wanateka watoto wa wenzao

💔💔💔

Inauma sana😭. Mungu wangu wewe unaona.

"Hatuwezi kusema tuna maendeleo bila kuwa na Demokrasia na uhuru wa watu"-Mwalimu J.K.Nyerere

Inaumiza sana aiseee

💔😭 Bora wajeda wachukue nchi wallahi. Allah amjalie wepesi Captain Tesha press ya pili afanyie Ikulu.

AKATAWALA AKAFANYA YALIYOMEMA LAKINI MAHALI PA JUU HAPAKUBOMOLEWA WATU WALIENDELEA KUABUDU NA KUTOA SADAKA

So painfull, yan kikubd cha watu kimejipa mamlaka ya kuua na kugawa uhai kwa binadam wenzio, inaumiza sana

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Duhhhh hatariii tz stand up, let’s go

Inasikitisha sna!

Pole mama niyakwetu sote.

Aseeee...

Mnakua misenge sana, kipindi anaongea mambo yake nakuitwa atolee maelekezo na ushahidi wa maneno yake mlikua unampraise sasa limemkuta alilokua anataka mnabakia kupost kama wasenge. Na alishasema yuko tayari kwa lolote sasa mnalilia lia nini.

Pole sana mama😭😭😭😭😭😭

Hata Baba Chaula alilia sana aiseee. Ila dah😭😭😭

😭😭😭😭

💔

Pole sana mama yetu MUNGU atajibu kilio chetu

Inasikitisha sana

Sounds like Mama Eric Kabendera when she asked Mamlaka zimsamehe Mtoto wake, then akaja akafariki Yule Mama. Eric hakwenda hata kushuhudia mazishi ya Mama yake. The rest happened and here we are now. Mungu yu mwema, Nyakati zote 🙏

Pole sana mama! Nina maumivu makubwa sana moyoni mwangu kila nikirudia kkusikiliza...

Mama mkanye mwanao

@HildaNewton21
